Waliongonganisha vyeti hawa hapa, Cheti Kimoja majina 2 mpaka 3

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
upload_2017-5-6_11-12-4.jpeg
 
Tutauwana kwa pressure jamani
Maana pale ofisini nimeona wanavyochakata majina yale ya may 15. Kweli huu mwaka tutajuta maana nilikuwa naona simu tu njoo na cheti mara wewe nenda baraza na hizo karatasi zako mara sasa wewe ndugu hivi vyeti vyako mbona mpo watano mnaokitumia, mara wewe kariport central loooh.
Hii nchi ni samaki wakubwa wanawala samaki wadogo.
Kazi ni nzito sana sijui itakuwaje???
 
Bashite ndiyo kitu gani? Wakati Waziri akijibu kabla hajamaliza hata kueleza Wajinga flani na wendawazimu wakaripuka na kudai eti mkuu wa mkoa wa Dsm anaitwa Bashite. Wakati Waziri hakuthibitisha kuwa Makonda ni Bashite. Hawa ni sawa na mbwa kazi yao kubweka tu. Unatuletea mifano ya Ghana ni wehu mtupu. Kwani Tz ni Ghana? Tundu lisu kichaa tu.
 
Nimeshangaa classmate wangu nae kakumbwa Na sakata hill ni DAS Wilaya ya BUNDA, nilimaliza nae 1995.
 
Back
Top Bottom