Recent content by Sosperlevison

  1. Sosperlevison

    Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

    Pole sana kijana ndio maisha hayo na mapito yake so hauna jinsi kuvumilia katika gurudumu hili la maisha. Piga kazi Mungu atakupatia anaye fanana na wewe.
  2. Sosperlevison

    Kitoweo cha mchana na cha usiku

    Duhh hicho cha mkono wa kulia nimekipenda nitanunua kwa bei yoyote ile Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  3. Sosperlevison

    Picha halisi za trafiki aliyebanjuka porini na mwenzake kagera, toa maoni / maksi kwake

    Hapo hakuna wakulaumiwa kwani kila mwanadamu anahaki ya kupenda ila chamsingi ni kuangalia unapenda wapi na kwamadhumuni gani. Na serikali uamuzi wake ni sahihi kwani kila kilichofanyika ni haki kwa sababu kuna kanuni na taratibu pamoja na mipaka ya kuzingatiwa katika utendaji wa majukumu ya...
  4. Sosperlevison

    Hottest Cars At Shanghai Auto Show 2013

    Ina demu wa bule humo ndani wa kukizishusha haja zangu
  5. Sosperlevison

    Nimpate wapi mwanamke kama huyu hapa Bongo??

    wazeza mpata halafu tabia ikawa mbaya kupita maelezo
  6. Sosperlevison

    Malavi davi kwa kila mtu

    hao wanajua sio wakina sisi kizazi kipya
  7. Sosperlevison

    Katibu mkuu wa CCM na ujumbe wake watembelea kiwanda cha viatu cha Tianjian, China

    Mbwe mbwe za viongozi wa tanzani ndio hizo usishangae wako na mikakati ya uchagu mwaka 2015
  8. Sosperlevison

    Simu ya Kazi

    loading 100% processing data 0% network full
  9. Sosperlevison

    Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

    kwani kuombwa namba tatizo. Kuwaa na msimamo na muombe mungu
  10. Sosperlevison

    pwaaaaaaaaaah

    searching 100% loading 90% netwark faild
  11. Sosperlevison

    Mwanajeshi, Mwanajeshi

    sijaelewa hatamoja napita tu
  12. Sosperlevison

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    hatujaja kutunga shanga tumetumwa pesa
  13. Sosperlevison

    Jibu kweli au si kweli

    kuchekesha kipaji
  14. Sosperlevison

    Kisa cha jamaa aliye vamiwa na majambazi..................... .

    kuchekesha kipaji. Au mnasemaje wanajamii?
  15. Sosperlevison

    Ajali mbaya ya piki piki jamani ushauli kwa ndugu zetu wa boda boda

    Hii ndio nia ya mchina kutuletea toyo ili atupunguze kwa ajali
Back
Top Bottom