Recent content by sosi maiko

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo

    I second you. Dada asijeingia mtegoni. Kama yuko serious huyo mwamba, jamaaa apeleke mahari na aoe. Otherwise atakujamia kwa mara ya pili atakubwaga tena. Kama alikuacha mwanzo "SAHIZI UMEONGEZEKA NINI CHA TOFAUTI SANA? ACHILIA KAZI YAKO" wewe si yule yule akikuvua nguo? fikiri sana dada...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna nafasi Moja ya kazi mfuko wa Self me. Interview watu 590 daaah!!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] week ijayo nadhani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Masomo gani mkuu?? Me natafuta kufundisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnasubiri Ajira za Global Funds wizara ya Afya

    Mwezi wa 12 mwaka jana wizara ya Afya ilitangaza nafasi mbali mbali za kada ya Afya Kupitia Mfumo wa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Sales officer ni kama week 4 nyuma mkuu... itakuwa mnafatia
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Legal sikuiona... ila nadhani wameanza na watu wa Sales kwanza. Legal ilitoka Lin?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Yeah... mkuu. Uliomba??
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Wakuu nani amefanyq Aptitude test ya Exim bank??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Sioni simu, sioni simu mkuu..... Vip jamaa Bado[emoji16]
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ajira 500 za Wauguzi nchini Saudia, zimeishia wapi?

    This is Tz
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Wizara ya Afya

    Labda tuendelee kusubiri tu mkuu. Me nasubiria zile za Global Fund. Naona kimya kila siku napita kwenye website yao. Hivi na Wale manes walioambiwa waombe waende uarabuni... nao bado?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Wizara ya Afya

    Duuuh!! Hizi sikuziona Mkuu... Au ndo zitakuwa zike za ajira ya Moja Kwa amoja Serikalini. Kwani wao pia hawajaitwa hata mmoja??? Wale nadhani wanafanyia Tu placement ya kituo cha kazi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za Wizara ya Afya

    Mwezi wa 10, kuna ajira walitangaza??
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hongera sana Mwamba.
Back
Top Bottom