Swali zuri ndg, maana yake tumepitia kipindi kigumu kidogo kwenye jukwaa, ililazimu watu watumie vpn ili kuvonjari hapa, na hii ilipekea watu wengi kukaa kando. Lakin leo ci unaona ndugu mambo yako vizuri, Au nasema uongo ndugu zangu😀🤝
Habari zenu wanajukwaa,!?
Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF, ambapo wengi wetu hujifunza na kuburudika.
Nimefurahi pia kuona baadhi ya member wakongwe wapo active, japo britanicca na akina Membe Sk sijawaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.