Huu ni upuuzi mkubwa sana. jiji la Dar es salaam ni kubwa sana kijiografia. Watu wanatoka maeneo zaidi ya km 50 ili kuifikia stand ya Magufuli. Mtu anatoka chanika apande dalala hadi mbezi itamchukua muda mrefu na gharama kubwa. Kuna mabasi yamesogeza huduma hadi wananchi walipo. Zipo gari...
Mkuu kwema kiongozi? Mkuu Mimi nimeizimia Honda Fit kinyama. Sema vitisho ninavyokutana navyo vinanivunja nguvu. Yahani kama mwezi hivi sasa napambana na roho yangu juu ya kuagiza au kuto kuagiza Honda fit. Kuna ndugu yangu anajua habari za magari nilimuomba ushauri akanikatisha tamaa sana...
Mkuu naona ni muda Sasa unaimiliki hiyo gari na kama kunachangamoto utakuwa umeshazipitia. Naomba ushauri wako nataka ni nunue Honda fit je, ni kweli kwamba kuna changamoto ya spare parts na pia bei zake ni mkasi sana?
Wahaya wanaishi wilaya gani ili tuweze kuwatofautisha na wanyambo? Maana sisi huku mjini hatuwezi kuwatofautisha wote wanaongea lafudhi moja na tabia zinafanana. Kingine kwenye survey fulani ya umasikini mkoa wa Kagera unaongoza kwa umasikini nafikiri ni wapili toka mwisho baada ya Rukwa. Tupe...
Mkuu sijui taratibu za hicho chuo lakini mara nyingi vyuo vinatoa part-time kwa waajiriwa wa vyuo vingine vya serikali. Sasa nafikiri hawa wanatumia hao kwasababu ni cheap labour na wanaweza kufanya chochote maana wanajua hawana pa kwenda. Sasa Kama mtu hujamlipa mwaka unategemea hapo kunalolote...
Inakuwaje ufanye kazi mwaka mzima usilipwe na uendelee kufanya? Ndiyo maana hamlipwi kwasababu mkuu wenu anajua lazima mtafanya tu. Part time 10000 si ukafuge kuku? Gharama za usafiri kufika hapo hiyo 10000 si itakuwa imeisha?
Inawezekana kabisa. Mimi na familia yangu tumepata homa na kuharisha. Tulikwenda hospital tukapima kila kitu expect korona lakini hatujakutwa na ugonjwa wowote. Mke wangu, mama yangu na shemeji yangu mmoja ambao tulikutana nao hivi karibuni (ninamaanisha mama na shemeji yangu) hawasikii harufu...
Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari aina ya Probox Van ya mwaka 2008. Je hii gari ni nzuri kwa upande wa uimara na ulaji wa wese. Ina sura mbaya lakini kwangu siyo hoja. Vipi kwa urefu wake na ilivyo chini haisumbui kwenye barabara zetu za vumbi. Humbled.
Tatizo hamkijui mnacho sema. Biblia kama Biblia haiwezi kukusaidia kama umwamini Mungu. Tunapata kuokoka kwa kusikia neno na kuamini na hili twalipata kwa neema tu siyo kwa uwezo wetu wa akili. Mungu ni mwaminifu na mwenye haki. Biblia ni kitabu Chenye habari njema za Mungu. Tunapataje kuokoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.