Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

Kwanza kabisa hongera sana, kiukweli unaijua biashara vizuri..na una customer service nzuri.kwa hio character utafika mbali sana..Mungu akubariki..
Nimefuatilia huu uzi muda mrefu sana (ingawaje nimechelewa maana ni wa toka mwaka jana)..ila naomba msaada wa majibu Renyo Msuya..
1)inakuwaje gari kama Toyota Rush (avg 19 mil tsh) likawa na bei ya juu kuliko gari kama hili Alphard(15.7 mil tsh)... ingawaje rush ina cc ndogo ,kwa umbo pia ni dogo, seating capacity nayo ndogo (ukiacha mbali swala la mileage)..ni kwamba Rush ni bora zaidi(uthabiti) .? Au more luxurious? Naomba ufafanuzi mkuu..
ni hivi , hii rush kwenye calculator ya tra ushuru wake ni mkubwa kiasi, also ni moja ya suv yenye cc ndogo zaidi, pia nyingi zzilianza kutoka mwaka 2006, hivo hata cif yake ipo juu kiasi, yes iko luxury pia, japo sio sana, , compare na alphard , hiokwanza ni old model....................
 
SPECIAL OFFER
Offer |Leta mteja upate commision $100
Agiza Gari Japan|Upate bonge la discount!!!
Gharama Nafuu |Ubora wa juu.

Malipo Kwa Awamu Mbili Ndani Ya Siku 45.
==============================
TOYOTA RAUM |Year 2003
Transmission AT|Drive 2WD|Color WHITE
PS |PW AC|Door 5|Seat 5
Stereo IN-DASH CD CASSETTE RADIO
Fuel G |C.C. 1490cc

Other AB ABS AW S-SWITCH P-DOOR
-------------------------------------------------
Gharama kamili & ushuru | 10 milion
Gharama Za awali | 5milion

-------------------------------------------------
Kwa mawasiliano zaidi fika Ofisi Zetu

QUALITY CENTRE MALL.
Simu | Whatsapp |0767328063
whatsap direct link Share on WhatsApp



01.jpg
02.jpg
03.jpg
04.jpg
05.jpg
07.jpg
08.jpg
09.jpg
 
*SPECIAL* *OFFER* NA AUTOCOM JAPAN !!!!
Offer |Leta mteja upate commision $100
Agiza Gari Japan|Upate bonge la discount!!!
Gharama Nafuu |Ubora wa juu. Gari Aina Zote.

Malipo Kwa Awamu Mbili Ndani Ya Siku 45.
================================
TOYOTA PREMIO |Year 2002
Mileage 42,000km |Transmission AT |Drive 2WD
Color SILVER |Door 4| Seat 5
Fuel G |C.C. 1790cc |Other AB ABS FOG HID

-------------------------------------------------
Gharama kamili & ushuru | 14 milion
Gharama Za awali | 8 milion
-------------------------------------------------
Office Location.
QUALITY SHOPPING CENTRE /MTAVA
Simu | Whatsapp |0767328063

whatsap direct link Share on WhatsApp



01.jpg
02.jpg
03.jpg
04.jpg
05.jpg
07.jpg
 
Toyota Runx |2005
CC 1490 | 84000km |4WD
Gharama kuagiza & Ushuru 13.8m
-------------------------------------------------
Call |WhatsApp 0767328063



01.jpg
02.jpg
04.jpg
05.jpg
06.jpg
07.jpg
nze124-0057981_pb200373.jpg
nze124-0057981_pb200374.jpg
nze124-0057981_pb200376.jpg
nze124-0057981_pb200378.jpg
 
z01.jpg

Toyota Rav 4 | Year 2001
CC 1990 | 80000km | 4WD

Gharama kuagiza & Ushuru 17m
Lipia nusu, ingine ikiwa imefika
--------—----------------------------------------
Call |WhatsApp 0767328063

MsuyaJr@MagariNafuu.com
 
Kwenye Toyota Vanguard, lile la kukosa spare tyre, suluhisho lake ni lipi?? Naipenda hiyo gari, natishwa na kukosa spare tyre!!
 
View attachment 527664 Hello members ,
Jina langu Renyo Msuya,
Nafanya kazi katika kampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania.
Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei nafuu kabisa.
Autocom Japan Inc, Tanzania Branch.
Office location: Quality Center/Mtava -Along Nyerere Rd.
Contact/Whatsapp: +255 767 328 063
Email: msuya@autocj.co.jp
AUTOCOM TANZANIA BRANCH
Nitakuwa najibu maswali na updates za magari .
Lietace Noah napata kwa sh ngapi hadi mkononi?
 
Hawezi kujibu maaana ni mhusika mkuu mwizi na tapeli jifiche tu msuya Tanzania ni dogo sanaaaa ila iko cku utafurahi tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu fafanua kakutapeli nini na kakutapeli vipi? najua ofisi zao zipo pale Qualit centre, je mlifanya kazi kupitia ofisi au mlifanya dili na yeye binafsi? je ulienda pale ofisini kwao ndio ukatapeliwa pale pale?
 
Msuya kimbia tu ila nitakukamata tu kwa ulichonifanyia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa kweli wana walakini! Mimi nipo group moja la whatsapp ambalo wanatangaza kazi zao,
Yani baada ya kuona haya malalamiko huku nikapost huu uzi kule nakuuliza, imekuaje kule jamii forum kuna malalamiko

Hahaa yani wakuu nilitolewa kwenye group hapo hapo ila hawajui niko kwa namba nyingine pale
Screenshot_20190117-183648.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello wakuu, naam naomba nijibu kama ambavyo swali limekuja hapo,
kwanza kabisa kwa sasa sifanyi kazi autocom kwa almost miezi 2 sasa,
na ndio maana unaweza kuona post yangu ya mwisho ina muda mrefu kidogo,
kwa sasa nimejiingiza zaidi katika clearing , lakini yes bado niko katika industry hii ya kuagiza magari , so am still the person u can trust, kuna wateja wangu wengi ni mashahidi wa hili hata tukio hili limetokea lakini still nafanya nao kazi na magari yao yapo salama salmini.

kuhusu autocom, yes ni kweli kuna fraudi imetokea, aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni , kuna namna alikonvice wateja wampatie pesa kinyume na taratibu za kampuni , kwani kwa sheria za kampuni mteja anatakiwa apewe proforma invoice na akalipie mwenyewe bank , so huyu staff akafanya hivo na akakala pesa za baadhi ya wateja, ila kwa sasa yupo mikononi mwa sheria , so haki zote zitalipwa. kwa wale wahanga poleni sana .

asante
 
Mkuu fafanua kakutapeli nini na kakutapeli vipi? najua ofisi zao zipo pale Qualit centre, je mlifanya kazi kupitia ofisi au mlifanya dili na yeye binafsi? je ulienda pale ofisini kwao ndio ukatapeliwa pale pale?
Yes utapeli umefanyika ofisi kwao tena msuya akiwa ndio mhusika mkuu alisema anafanyia kazi autocom kumbe alifukuzwa muda mrefu Sanaa akaniunganisha kwa meneja wa autocom nikafika ofisini tukachangua gari ss kilichotokea kumbe meneja ameweka hela kwny account yake hrf anasema amelipia tayari gari kumbe sio baada ya kuona cku zimefik za kupokea documents tunapiga cm hawapokei Wala huyo msuya nikaenda ofisini kumbe ofisi wamehamisha cm zao hazipatikani na sio wamedhurumu mteja 1 ni zaidi ya wateja 12 wote hao msuya akiwapelek kwa meneja na akichujua wanachokifanya.meneja alitoka ila alikamatwa Yuko polisi ila na msuya nae alikamatwa kwa utapeli akarudisha hela ya mteja ambae alikuwa amechukua hela.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom