Kwa kawaida unaandaliwa na serikali kisha inapeleka bungeni. Unasomwa bungeni linapitia kipengele baada ya kipengele kisha hoja kama zipo mwisho wanapitisha /wanakataa. Nikiangalia sehemu zote mbili zipo sahihi maana kama serikali imeandaa na bunge likapitisha maanake ni kwamba limeona uko...
SOMA NI MUHIMU KULIKO KUACHA POMBE!!!
MAGONJWA HATARI NA RAHISI KUAMHUKIZANA KULIKO HATA UKIMWI!
Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)
Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana...
MAGONJWA HATARI NA RAHISI KUAMHUKIZANA KULIKO HATA UKIMWI!
Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)
Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana yamewaadhiri Watanzania wengi na hasa watoto...
1. Mafua ya mara kwa mara
2. Kuumwa kichwa
3. Kubadilika rangi ya ngozi
4. Vipele vya ajabu ajabu kifuali, sehemu za siri, mgongoni nk
5. Kuwaka moto sehemu za siri na maumivu makali yasiyoeleweka
6. Kupata vitu kama vidonda ambavyo vipele vidogo vidogo vilivyojikusanya pamoja na baadae...
Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)
Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana yamewaadhiri Watanzania wengi na hasa watoto kupitia kwa wazazi na wazazi tokea kwa watoto mfano watoto...
Nitashangaa sana Mbowe akiachwa mtaani akiendelea kula maandazi wakati kuna familia imepoteza mtoto, kuna watu watabakia na majeraha ya milele.
Fuatilia matamshi yake siku ile kuhusu kutoa tamko. Polisi wanakuwa chambo tu ila siku ile wafuasi wa chadema wangenyang’anya askari silaha na kuanza...
Sijalipwa hata cent ila kama kutakuwa na consideration yoyote please njoo inbox. Naamini hii post yangu itakuwa na maana endapo utaiweka ili 2020 usipoteze nguvu na muda kuandika maneno mengi
Uchaguzi mdogo wa marudio wa Siha na Kinondoni ni kielelezo tosha kuwa upinzani umepoteza dira na kupotea hapa Tanzania.
Hawakuwa na jipya katika kampeni na hawakuwa na jipya baada ya matokeo na bora sana wale ambao hawakushiriki maana hawajajulikana udhaifu wao na wameokoa rasilimali pesa...
Sisi ndo timu ya taifa hakuna wa kutugusa na utaona mtapiga kelele weee mtatulia. Sheria kitu gani wewe zilikuwepo tu na zitavunjwa mkitaka ondokeni kwenye ligi
Jana serikali imetoa ruksa kwa benki mbili hapa nchini kutoa huduma za kibenki kwa akaunti zote za serikali na wafanyakazi wa serikali sasa ruksa kufungua akaunti na kuhudumiwa na benki yoyote kati ya NMB na CRDB BANK.
Hivyo halmashauri zote nchini zinatakiwa kuchagua benki ipi itahudumia...
Kwanza nashukuru sana kwa jinsi ambavyo wadau mmechangia
Pili, mimi niliweka wazi kuwa mimi sifanyi kazi kwenye kampuni yoyote shindani ya voda.
Tatu, habari ambazo zimetolewa au kufikia mtu asiyehusika si za wizi wala kutembea na mke wa mtu.
Hata hivyo kwa baadhi ya watu wajue kuwa...
Kaka pota mambo mengine si ya kuweka wazi hapa ubaoni ila naweza kukuambia kwa ridhaa yangu kama upo interested maana hiyo ni ridhaa yangu sasa ila nimeumia mkuu kwa kiwango cha juu kabisa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.