Recent content by sononaaa

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Mrejesho wakuu Baada ya kutafakari kwa kina hali ninayopitia na kujumlisha maoni na ushauri wa wengi,niliamua kuzingatia baadhi ya maoni na ushauri huo. Japo binafsi nilitamani kuona ndoa ynagu inaendelea lkn si kuilazimisha kubaki Maamuzi yangu sasa ni kwamba nimeamua kuondoka na kumuacha mke...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Wakuu maoni ni mengi yakiambatana na ushauri mwingi tu wenye busara na wakiutu uzima na kujenga pia wazee wa kejeli dharau ushauri wenu nimeupokea bila kusahau wako waliousoma vzuri ujumbe wangu wako waliosoma juu juu na ndio maana maoni na ushauri haikuwa ajabu kupishana ila yote kwa yote...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Hii ndio inauma zaidi
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Na nafsi inanisuta hasa
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Uko sahihi kwa asilia mia mkuu
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Mkuu binafsi siwezi kuishi bila ndoa km ikitokea hii kuvunjika lkn lazima nipate muda mwingi kabla ya kuoa tena
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Nilimuahidi kubadilika kwenye hili kwa ahadi kuwa km itajirudia basi ntampa talaka yake lkn hili halijawahi kujirudia na niko upande wake ila hili limekuja ghafla
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Uko sahihi mkuu na sababu inayonifanya nakuwa na ugumu kwenye kuamua pmj na kuwa mimi ndio tatizo ni aina ya mwanamke niliyenaye hakika ni mtu sahihi sijawahi kunusa usaliti kwake wa mapenzi yake kwangu hayajawahi kuwa na kipimo kubwa zaidi ana khofu ya Mungu
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Nimeshasema post za nyuma huko
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Hivi ndio niliwaza pia
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Sijazaa nae na nina mwaka nae
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    UMesomeka kiongozi nashukuru pia japo jambo hili kwangu ni gumu
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Htari
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Shukrani mkuu
Back
Top Bottom