Recent content by Sonofthemajesty

  1. Sonofthemajesty

    Regina Lowassa ashindwa kujizuia kwa mumewe, mahaba Live Mbele ya Umati

    wanaendana...na of coz ni cute mbayer kabxa yan dah namuonea donge musee
  2. Sonofthemajesty

    Nabii Frank Kilawa unatutishia maisha!

    Ukiona mtu analalamikia uwepo wa mtumishi wa Mungu, ujue huyo ni agent wa ibilisi. Anataka watu waendelee kuteseka bila msaada. I decree all agents of the devil are cursed forever in the Might Name of Jesus Christ
  3. Sonofthemajesty

    Ugonjwa wetu ni nini hasa?!!

    Nimefikiri sana..kwa nini huyu El anachukiwa sana na watz fulani yani nimeishia kupata wazimu..NAJIULI ZA JE, -Kipi nafuu, kuongozwa na maskin limbukeni au tajiri mwerevu?! -Ni siri gani amebeba huyu Edo,kiasi cha kina MKAPA kupanic na kuropoka ovyo kwa woga na hofu?! -Je, Lowassa ni mkimbizi au...
  4. Sonofthemajesty

    Askofu Gwajima atembea tena baada ya kupooza

    Wapinga Kristo wamejaa humu...kazi ni kupigia debe Ibilisi ...curse yuu!!
  5. Sonofthemajesty

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    ofcoz.......its a reality
  6. Sonofthemajesty

    Lowassa ni msomi, anapata nyomi

    mh . hv hao watu woote wanahongwa ....hapana mwenye macho haambiw tazama.. jamaa anakubalika kwa sasa....ukweli umeshajulikana ndo maana mkwere hana amani
  7. Sonofthemajesty

    Lowassa: Siwezi kumjibu mtu aliyebwabwaja kuwa nakusanya watu kupata uungwaji mkono!

    mwenye nguvu mpishe akivunga nchi itaangukia kwa wachinjaji...acha apambane
  8. Sonofthemajesty

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    mnakoelekea sipo...ila itafahamika tuu...mchele na pumba vitajitenga!
  9. Sonofthemajesty

    Nyalandu aanza kampeni kanisani, amhusisha Kikwete na majini

    But hata watabiri nyota wamesema Raisi atakuwa aliyewahi kuishi na kufanya kazi nje ya nchi. Ukweli utafahamika tu..What i know ni kwamba mtu mzima hakurupuki. Ukiona tai yuko angani ..jua kuna mawindo nearby!!
  10. Sonofthemajesty

    BAVICHA waishughulikia CCM; Katiba, kutukana waasisi, Interahamwe, wamkamata Makonda

    CCM wote MAMBWEHA TU tena MAVYURA wakubwa!! Wanaitia nchi unajisi
  11. Sonofthemajesty

    UKAWA tafadahali: Sharti lingine la kurudi bunge la katiba hili hapa

    CCM ni mambweha wa jangwani tu..no difference. They just pollute Tanzanians
  12. Sonofthemajesty

    Serikali 2 ni ghali kuliko serikali 3, Ushahidi huu hapa

    hivi kumbe watanzania wengi wanapumbazika na hayo machura ya CCM!! UKWELI ULIO WAZI Ni kwamba Hayo maviumbe yanapigania ulaji wa vizazi vitano mbele..kwa sababu wanatambua serekali tatu hazitawapa mwanya mkubwa wa kula kwa mrija au kwa lugha nyepesi kula vya KUNYONGWA!! But I believe the...
Back
Top Bottom