Nabii Frank Kilawa unatutishia maisha!

Nabii Frank Kilawa unatutishia maisha!

Yaani kama unaumwa usiende kwa huyu jamaa. Sijui alisomaga kaleti?
 
Pasaka atakuwa Ubungo plaza, anadai watu wapeleke wagonjwa wa UKIMWI, natamani ingekuwa Ivory Cost au Liberia tungetafuta mgonjwa wa Ebora tumpereke ndo uone nabii angevyoharisha
 
Come down mtoa mada. Hizo ni sanaa tu za kujiingizia kipato, kwa hiyo lazima uwe na swaga za kujitofautisha na wasanii wengine. Ahaha eti nabii, kuna watu wana utani na Sir God.
 
Police waanze kukamata watu wa namna hii as hawana tofauti na sangoma wa lamri chonganishi
 
Yesu hakuwa na bodigadi matokeo yake si umeyaona? Ametundikwa kwenye mti kama tumbili hakukua na wa kumtetea!..mwacheni jamaa ajilinde na mabodigadi asije kurudia kosa la bwana yesu
Mhh!, mambo mengine mnajitafutia laana za maisha, Yesu unamfananisha na tumbili halafu unasema alifanya kosa, wewe kalagabao omba radhi la sivyo yatakayo kukuta utajuta kudakia mambo yasiyo kuhusu
 
kamagetac

'Na wao (Wakiristo) ati husema kuwa Arrahmann Mwingi wa Rehema ana mwana !

Hakika m'meleta jambo la (kuchukiza) kuchusha mno !

Zinakaribia mbingu kutatuka kwa hilo, na ardhi kupasuka, na milima kuanguka vipande vipande

Kwa kudai kwao kuwa Arrahmann Mwingi wa Rehema ana mwana.

Hapana yeyote aliyemo mbinguni na ardhi ila atafika kwa Arrahmann Mwingi wa rehema kuwa ni mtumwa wake.

Hakika yeye amewadhibiti (viumbe wake wote) na amewahisabu sawa sawa.

Na kila mmoja katika wao atamfikia siku ya Kiama peke yake

Qur'an: 19:88-95

'Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika ! Anapo hukumu jambo basi huliambia tu: Kuwa ! (mara) Likawa.

Qur'an: 19:35
Nakushauri tu ubaki na dini yako siku ikifika utamgeukia Yesu Kristo kama wengine wanavyo shuhudia
 
Nakushauri tu ubaki na dini yako siku ikifika utamgeukia Yesu Kristo kama wengine wanavyo shuhudia

[MENTION=62194]
kamagetac hilo liko wazi siwezi kuabudu Mtu Yesu.

'Enyi Makafiri
(Mimi) Siabudu mnachoabudu.
Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
Wala sitaabudu mnachoabudu.
Wala nyinyi hamtamuabudu ninaye muabudu.
Nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu

Qur'an: 109: 1-6.

'
 
Last edited by a moderator:

kamagetac
hilo liko wazi siwezi kuabudu Mtu Yesu.

'Enyi Makafiri
(Mimi) Siabudu mnachoabudu.
Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
Wala sitaabudu mnachoabudu.
Wala nyinyi hamtamuabudu ninaye muabudu.
Nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu

Qur'an: 109: 1-6.

'
Huwezi kumuabudu ila unamtambua kuwa ni mwana wa Mungu

Unaposema makafikiri una maana gani? maana Quruan inasema Muislam ni yule anaetimza swala tano kama hautimizi basi wewe ni kafiri tu,je unatimiza swala tano? na kama ni hivyo waislam ni wachache sio maneno yangu ni kitabu chenu ndio kinasema hivyo.

Ni bora nguvu hii ukailekeza kwa waumini wenzio walio wengi kuliko kusubiri sikukuu ndio waseme kuwa ni waislam
 
[MENTION=62194]
kamagetac hilo liko wazi siwezi kuabudu Mtu Yesu.

'Enyi Makafiri
(Mimi) Siabudu mnachoabudu.
Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
Wala sitaabudu mnachoabudu.
Wala nyinyi hamtamuabudu ninaye muabudu.
Nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu

Qur'an: 109: 1-6.

'

Tena ni bora kuwa kafir,kuliko kuwa mtu wa dini ya amani yenye kumwaga damu dunian.

Miungu wako wengi lakin kaa ukijua "Mungu wako ndio shetan wangu mim kafir"
 
Last edited by a moderator:
Tena ni bora kuwa kafir,kuliko kuwa mtu wa dini ya amani yenye kumwaga damu dunian.

Miungu wako wengi lakin kaa ukijua "Mungu wako ndio shetan wangu mim kafir"
KIKOSIKAZI :yo:
'mungu wako wewe ulimtwanga misumari msalabani, na mkatengeneza siku kuu ya kufurahia jambo hilo: eti mnaiita Pasaka !
Sasa kweli watu wenye upendo mna mpiga namna ile mungu wenu !?........bado mme mbebesha na dhambi zenu zoote !
Aiseeh ! :noidea:
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu analalamikia uwepo wa mtumishi wa Mungu, ujue huyo ni agent wa ibilisi. Anataka watu waendelee kuteseka bila msaada. I decree all agents of the devil are cursed forever in the Might Name of Jesus Christ
 
Uyu nabii f.klw ni muongoo 100%,nabii wa uongo uyu kabxa,yan full uongo maubri yakee plus fix,blablaa.
 
Haya tuonyeshe wapi ilipi Injili ya Isa Bin Maryam, sina muda wa Quran maana Quran sio Injil na wala Quran sio Biblia [Mkusanyiko wa vitabu]

Huu nao ni msiba kwenu.

Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye hii battle...... I think this is ur area of specialization.
 
Huyu jamaa simuelewi elewi! Anahubiri kibabe sana na vitisho vitisho vya kishirikina. Anasema anaponya magonjwa tote mpaka ukimwi.
Changa cheche:
1. Kwa wanaomjua, ile Huduma ya kuombea kwa kusukuma na vitisho kaagizwa na nani?
2. Wale walinzi wake anawalipa sh ngapi? Hivi wewe ni mtumishi wa Mungu, walinzi/mabodigadi wa nini? Yaani kila mahali mpaka kanisani mnaboa!

Manabii wengi Usiku hizi Huduma zenu hatuzielewi aisee.

Nimepitia comments zote sijaona alipotajwa Gwajima ina maana huyu anaposema anafufua watu ndo nabii wa ukweli.?
 
Huyu jamaa simuelewi elewi! Anahubiri kibabe sana na vitisho vitisho vya kishirikina. Anasema anaponya magonjwa tote mpaka ukimwi.
Changa cheche:
1. Kwa wanaomjua, ile Huduma ya kuombea kwa kusukuma na vitisho kaagizwa na nani?
2. Wale walinzi wake anawalipa sh ngapi? Hivi wewe ni mtumishi wa Mungu, walinzi/mabodigadi wa nini? Yaani kila mahali mpaka kanisani mnaboa!

Manabii wengi Usiku hizi Huduma zenu hatuzielewi aisee.
Ukiona mtu yeyote anayehubiri Injili kwa mbwembwe na vitisho ujue anajitumikia mwenyewe. Injili maana yake ni habari njema sasa vitisho vya nini? Anayo ya ni Yesu ambaye Hana walinzi siyo mwanadamu.
 
Back
Top Bottom