Maisha yana siri nzito sana, kiubinadam watu wng tunakutana na mambo ambayo yanabadilisha mtazamo na namna tunavochukulia vitu, ukiangalia toka mwanzo Hadi mwisho unaweza kugundua hili, nadhan kitu kikubwa ni kuangalia ni matari wa namna gani unatakiwa kuuchora ktk maisha yako. Ni vema kuchora...