Bas fanya kimya kimya kama una kimuhe muhe cha kujua.
Usihusishe familia..maana itakua mwanzo wa mafarakano huko ndani..kama kula kitu kiko shwari fanya kimpango wako. Waache na amani wabaki wakijua you guys are still one family..
Ukisoma vizuri comment yangu utaona sijawakandia PSRS kwa kuwapaisha TRA.
I simply meant PSRS is of no help to me since i can't apply anything there. I never compared the two as you put it.
Salamaa,asAntee kwa kujibu. Sijui imekuaje ila kwa point ya size ya kioo sidhaniii,sim yangu haina kioo kidogo naamini.. ni Sony Xperia z3.
I found another link though, I'll stick up there.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.