Recent content by songo mwene

  1. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Namuombea Rais Samia aendelee kuwa na afya njema

    Ee Mungu wetu tazama tunakuja mbele zako tukiomba ulinzi wako usikuhuu. Tunaomba uzilinde familia zetu. Tunawaombea wagonjwa na Makamanda wote walioko kazin muda huu. Kipekee tunamuombea mh Rais mama yetu kipenzi aendelee kuwa na afya njema Amen
  2. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ee Mungu tunashukuru kwa ulinzi wako. Tunaomba utujaalie baraka jumapili ikawe njema kwetu. Kipekee tunamuombea mh Rais mama yetu kipenzi aendelee kuwa mwenye afya njema Amen. Mkawe na asubuhi njema
  3. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando hata Wewe?

    Kuna watu hawajawahi kufika hata bandarini na kujionea Rushwa inavyopigwa pale, tunahitaji mwekezaji ili kutengeneza mapato yatakayo leta faida kwa watanzania wote, wapo watanzania wenzetu pale TPA lkn wanakunyanyasa utafikir wewe sio binadamu, wamejenga majumba ya kifahari kwa pesa za Rushwa ya...
  4. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Kila siku serikali inatoa ufafanuzi cjui kwa nini?
  5. songo mwene

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Injinia Hersi Said kuchukua Fomu Yanga SC taratibu 'ANGUKO' la Yanga SC naanza kuliona kwa mbali

    Itakuwa ulikuwa mtoto
  6. songo mwene

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Tatizo umechanganya rafiki na mpenzi so nimeshindwa kukuelewa upo kwenye angle gani ya mwanamke lkn mimi nitakujibu kwa angle ya mwanamke rafiki Mimi nimewahi kufanya research Kati ya rafiki zangu 10 wa kike na rafiki zangu 10 wakiume nikagundua ni bora niendele kuongeza marafiki wa kike kuliko...
  7. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya uchaguzi iwajibike kwenye vyama vyote vya siasa

    Nafikiri uchaguzi wa mwaka 2020 tume yetu ya uchaguzi ilishindwa kuwajibika katika kuhakikisha Nchi inapata wagombea sahihi kwa vyama vyote vya siasa. Tume inawajibu wa kutoa elimu kwa wagombea pamoja na Wapiga kura, Tume haikujikita katika kutoa elimu ya namna ya ujazwaji wa fomu za wagombea...
  8. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke wa kuzaa naye

    Habari wanajamii! Mimi ni mzee wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuzaa naye awe na miaka 30 hadi 45, na awe ameshajaribu kutafuta ukashindwa pengine umeenda hata Ulaya ili ukapandikize mimba lkn imeshindikana Nataka nikusaidie na kukupa kumbukumbu ya maisha yako, kama hautapata mimba ndani ya...
  9. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Zijue sifa za Anesthesiologist

    Hayaa ni maelezo ya kitaalamu [emoji106][emoji106]
  10. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kupata mtoto wa jinsia ya kike/kiume

    Maelezo mengi hivyo utadhani ni kweli, Kuna madaktar wamebobea kwenye mambo ya afya ya uzazi lakini nyumbani kwake wamejaa watoto wa jinsia moja tu, fuata njia hizi nilizofundishwa na babu yangu utakuja kunishukuru. 1.Mtoto wa Kiume hapo Kuna XY fanya hivi wakati wa tendo hakikisha mwanaume...
  11. songo mwene

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Simba tuliingia mechi ya leo tukiwa hatujiamini

    Hiyo underdog unajua wewe yani favorite kwa michezo wa Leo alikuwa ni simba na wameonyesha hilo bati haikuwa kwa upande wa simba, Ukiangalia hata mashabiki wa simba uwanjani Walikuwa wengi kuliko hata utopolo
  12. songo mwene

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Mbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari, Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari, Labda anataka kukabidhi maviete kwa wananchi [emoji23][emoji23] #kaziIendelee
  13. songo mwene

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU msaidieni Rais Samia kazi

    Hivi ni nini majukumu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa ya kila siku? Inashangaza kuona kila anapopita Mheshimiwa Waziri mkuu au Mheshimiwa Rais kubaini ubadhirifu wa fedha za serikali na kuagizwa Taasisi hiyo kufanya uchunguzi, Inaonyesha ni jinsi gani chombo hicho mhimu kinashindwa...
Back
Top Bottom