Namuombea Rais Samia aendelee kuwa na afya njema

Namuombea Rais Samia aendelee kuwa na afya njema

songo mwene

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
91
Reaction score
101
Ee Mungu wetu tazama tunakuja mbele zako tukiomba ulinzi wako usikuhuu. Tunaomba uzilinde familia zetu.

Tunawaombea wagonjwa na Makamanda wote walioko kazin muda huu.

Kipekee tunamuombea mh Rais mama yetu kipenzi aendelee kuwa na afya njema Amen
3d6f423f26f64f469a63ab01cfdd4d04.jpg
 
Mimi siku zote huwa najiombea mwenyewe na pia familia yangu. Huwa sina muda mchafu wa kumuombea mtu asiyenihusu.
 
Back
Top Bottom