Recent content by Songo Mnara

  1. Songo Mnara

    Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    HIYO NAFASI NI YA COMRADE MARTIN SHIGELA TOKA MDA SEMA KUNA KIGIZA FLANI HIVI ILA KITAPAMBAZUKA NA COMRADE SHIGELA ATASHIKA HIYO NAFASI MTU WA CHAMA YULE NA ANAKIJUA SANA KAMA ALIVYOMTANGULIZI WAKE NCHIMBI
  2. Songo Mnara

    Ijue Sanaa ya Singeli kuna namba zinatajwa kwenye muziki wa Singeli zina maana gani?

    Umofia wakuu Mleta mada kwa mimi nnavyojua namba hatari hapo ni moja tu 26 na ilikua introduced na nyandu Tozy kwa Tz 2009 ila kwa wakuu wa katembe utembee wanaijua hii namba ikitanguliwa na wakubwa wa kazi 27,28 32,na 45 chanzo cha hizi namba sio halisia na maelezo yanayotolewa sasa na...
  3. Songo Mnara

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Chief hapa umeshinda sana uko full details kongole sana. Mwamba huo ugonjwa wa usingizi ulimpelesha sana
  4. Songo Mnara

    Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

    1 Wakorintho 6 18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
  5. Songo Mnara

    That's life kwa yoyote aliyechangia anguko la huyu mwamba ubaya utamrudia tu

    HUYO MWAMBA NI CASTO DICJSON KAMA SIKOSEI ALIKUA CLOUDS TV NA NDIO FOUNDER WA KIPINDI CHA SIZ KITAA NA UONGOZI ULIVYOPIGA RETRENCHMENT WAKAMLAMBA NA YEYE BAADHI WALIRUDI KULAMBA KOBAZI ZA JOSEPH KUSAGA WAKAREJESHWA AKIWEMO MBWIGA WA MBWIGUKE. ILA HUYO JAMAA HAJAWAHI TUMIA NGADA ILA FEGI HAPO NI...
  6. Songo Mnara

    Kaninunia

    TAMAA MBAYA SANA
  7. Songo Mnara

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    SISI SIO WA KWANZA NA HATUTAKUA WA MWISHO
  8. Songo Mnara

    Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

    Shukrani sana chief ubarikiwe
  9. Songo Mnara

    Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

    WAKONGWE MNATEMA MADINI SANA ILA OMBI LANGU NI MOJA KAMA KUNA MTU ANAYO NGOMA YA FARIDA OOH PESA NAOMBA AIWEKE HAPA NITASHUKURU SANA MTU YOYOTE AKIFANIKISHA KUIWEKA HAPA
  10. Songo Mnara

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ifikapo saa sita usiku ntashusha kimasikhara yangu moja kati ya kadhaa nilizo nazo banka
  11. Songo Mnara

    Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Mkuu Siijui imani yako ila hizo ni roho chafu za zinaa zinakushambulia na zikishika hatamu kujinasua ni kazi sana mzee nakuombea kwa Mungu Akuponye
  12. Songo Mnara

    KERO Ubabe huu wa Kampuni ya Pepsi unalindwa na serikali?

    Hata Dar wameshawahi kufanya huo mchezo ila haukudumu Dar walalamikaji ni wengi Sana na wakiamua kulalama aisee utajuta maana vijiwe vyote vikiamua story ni za Pepsi kuanzia ilala sharifu shamba mpaka Lumumba
Back
Top Bottom