Recent content by Song'ito

  1. S

    Kuna mtu anaponesha kwa maji mkuranga anaitwa sokwe je huyu mtu ana ukweli kiasi Gani

    Hamna kitu. Nimempeleka mwanangu miezi minne iliyopita akapewa maji na kushikwa na kuombewa na sokwe mwenyewe, bado tulitoka bilabila
  2. S

    Enyi waganga wa kienyeji...

    habari za kwako... samahani naweza kupata mawasiiiano yako nina shida na mganga toka Sumbawanga!
  3. S

    Naomba kufahamu juu ya Nissan Dualis

    Habari wadau. Nimetokea kuipenda hiyo gari na natamani kuinunua panapo majaliwa. Naomba msaada kujua changamoto zake hasa.. ina shida gani... upatinakaji wa spea na menguneyo. Nimepitia thread kadhaa za nyuma hapa jamii forum juu ya gari hiyo ila sijapata majibu. Natanguliza shukrani zangu kwenu!
  4. S

    Tuwachore............

    nini condom kiongozi elli, toothpick zinatoka china wakati mbao mufindi zipo...
  5. S

    Majambazi wavamia makazi ya Mapadri

    kwenye ukatoliki kuna kitu inaitwa novena, nashauri uongozi wa kanisa hilo uangalie utaratibu wa kuitekeleza hiyo! tumeambiwa ombeni nanyi mtapewa, bisheni hodi nanyi mtafunguliwa! wamshatakie mungu kupitia novena na yeye atawapa jawabu
  6. S

    Tahadhari kwa Zitto Kabwe

    Perfect message to someone who is ready to understand..
  7. S

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Aisii mkuu ni saa kumi usiku nasoma hii kitu yako, nimecheka sana mpaka mbavu zinauma
  8. S

    William Mwamalanga: Napendekeza kura ya siri kuwataja wauaji wa albino

    Naafiki hilo kiongozi, na sidhani kama hii kura ya siri inahitajika katika baadhi ya maeneo ambayo hayajakithili kwa mauaji... Kura hizo zipigwe hasa maeneo yaliyokithili kwa mauaji hayo!! Hofu yangu tu kura hizo kutumika vbaya kwa watu wengine kuwataja wasiohusika kama kuna ugomvi baina yao..
  9. S

    Msaada: Nataka nikatafute maisha, nchi za kiarabu, maisha yakoje wa Non-Muslims?

    Nimakaa na wairan na kufanya nao kaz kwa zaid ya mwaka mmoja uholanzi.. Nilikuwa kwenye project ambayo mm peke yangu nilikuwa toka africa na wao watano toka iran... Kwa mwaka nliokaa nao nilijifunza kitu toka kwao, walikuwa huru, wenye amani na furaha wakiwa pale, na hakuna mmoja wao aliyetamana...
  10. S

    Hizi nyumba za ibada kwa kweli zimenichanganya sana

    Ninashangaa kuona wakristo wanakashfiana na kutoleana maneno machafu hapa... Hivi ndivo ustaarabu wa kikristo ulivyo... Ipo wapi ile amri ya kumpenda jirani?? Kwa minajili hii tutawezaje kuwatofautisha na watu wa mataifa?? Matusi, kejeli, chuki si mafundisho ya dhehebu lolote la kikristo...
  11. S

    Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Jaman hawa askari wetu waliofanya mazito juzi si watakuwepo huko pia?? Maana najua kutakuwa na maandamano tu kama ya cuf... Watusaidie kuyadhibiti kama ilivokuwa hapa darisalamu
  12. S

    Askari wawili wa wanyama pori wauawa Runzewe

    Ahaaaa nilitaka kupata afueni nikidhani ni askari wetu hawa wengine wazee wa PT Hao wa wanyama pori mwenyezi mungu awarehemu..
  13. S

    Ombi kwa Jeshi la Polisi: Zuieni maandamano ya CCM kesho

    Hlo kesho halitatokea songea... Sana sana watapewa difenda na askari wa kutosha kiwasindikiza na kulinda mkutano wao... Kuwatenganisha polisi na ccm ni kama kujaribu kutenganisha maziwa yaloyoyachanyikana na tui la nazi... Aslan haiwezekani!! Polisi wana chuki na siasa zozote za upinzani...
Back
Top Bottom