Recent content by songea1

  1. songea1

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu wanaume kuangalia baadhi ya tamthilia

    Inaonekana wengi hawajui maana ya Tamthilia naona wengi wanataja waphillipino, mala sijui mwanaume kutafuta. Vijana kila mtu anamaisha yake na mlengo wake kimaisha unaweza kuta huyo unae mdharau ndio boss wako anae kulelea mkeo na wanao.
  2. songea1

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu wanaume kuangalia baadhi ya tamthilia

    Hawa hawajui wanacho zungumza sio kosa lao.
  3. songea1

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu wanaume kuangalia baadhi ya tamthilia

    Ulizijuaje..?
  4. songea1

    JamiiForums Tanzania Uume wangu unatoa usaha

    STI's
  5. songea1

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mabasi yanayofanya safari za Dar kwenda Songea kupitia Lindi

    Selous na superfeo company moja
  6. songea1

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mabasi yanayofanya safari za Dar kwenda Songea kupitia Lindi

    Zipo za njombe na kusini
  7. songea1

    JamiiForums Tanzania Ya CHADEMA, Lowassa, Dr. Mashinji na mgomo wa madaktari mwaka 2012

    Dah .. mtoa uzi sijui kavuta bangi.
  8. songea1

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

    Huyu alie toa uzi huu atakua darasa la pili
  9. songea1

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi cha Serikali kizuri kwa nursing?

    Muhimbili
  10. songea1

    JamiiForums Tanzania Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

    Acha uropokaji wewe unapafahamu muhimbili...? Njoo uingie wodi wa mwaisela na kibasila nenda kaone mashine za x ray zilivyo... au ngoja mkeo au mama yako aletwe hapa ndipo utapo tambua nn maana ya MNH
  11. songea1

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kulipa milioni tatu kwa ajili ya starehe ya siku moja ni ujambazi na kufuru

    Acheni uropokaji basi,, huo wizi uko aPi....? Fiesta walimlipa rick milioni miatano mliufyata leo mtanzania mwenzenu mnajaa mapovu mdomoni. Madawati kamulize raisi wako, starehe zao pesa yao wewe kunakuuma nn..? Hadi leo hii ushawahi changia madawati mangapi...? Kama sio uropokaji tu
  12. songea1

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni Zitto Star TV

    Tayari usha msikiliza
  13. songea1

    JamiiForums Tanzania Mwanamama wa Shoka: Anna Mughwira - Mwenyekiti ACT Wazalendo

    Ipo siku utayakana maneno yako
  14. songea1

    JamiiForums Tanzania Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    Acha unafiki mzandiki mkubwa ww
Back
Top Bottom