Recent content by song 16

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lissu haponi kesi hii

    Ni bora afugwe kama wanavyofanya mda wote ila cha msingi hatutaki siasa za maigizo watu wanakufa na kuachwa majeraha baadae nyie mnakutana pembeni
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Incompetent Leadership always inatafuta kitu cha kulaumu population nchi hii ni sehemu kiduchu sana ya umaskini wetu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum ataka Tsh. Bilioni 5 na Mshahara wa Tsh. Milioni 200 kwa Mwezi kwenye Mkataba mpya wa Azam

    Ni kweli Fei siyo mchezaji wa pesa hizo lakini mara zote bei inapagwa kutokana na demand yako na Fei ni target no 1 kwa timu zote hapa nchini . Na kwenye maisha hizi nafasi huwa zinabadilisha destiny mazima ya Familia mda wake wa kuamua Future ya ukoo wake
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Ni minor issue sana ni vile tu viongozi wetu wanadeal na petty issues mtu anafundisha kipindi chake unataka kucontrol kila kitu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Tulidangaywa tu wazungu waliamua kusepa wenyewe kwa asilimia kubwa Kingine mambo tunayofanyiana wenyewe kwa wenyewe ni zaidi ya wakoloni ni vile tu ngozi wako hutilii maanani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa halikupigania kabisa uhuru wa Tanganyika?

    Mimi nikosema mfano uhuru hatukupigia tulipewa nakuwa nimekosea
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

    Huruma siyo malezi na unaposema umesoma chuo kinaitwa Zanzibar health ni bora kwa kutumia vigezo gani Ila kikubwa vyuo vya Afya nchi hii vichache sana kwa ngazi ya degree haziwezi kidhi mahitaji ya Form 6 na nyie wa diploma au mnajiita wenye professional
  8. S

    JamiiForums Tanzania Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    Paragraph ya mwisho umesema lipo on process unataka uwajibishwaji inabidi usubiri sasa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    Taarifa yako irefushe tatizo imekaa kama hearsay mfano ana makosa mengi mwanzo ulisema Mwanza now imekuwa Geita hata parokia hutaji Na ni mda gani umereport umeona kenya wamesimamishwa mapadri 6 ni mchakato pia unahusisha proceeding nyingi na inatakiwa uongee kwa uwazi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    Anaitwa nani na yupo parish ipi Inawezekana Askofu na viongozi wake hawana taarifa na ushahidi
  11. S

    JamiiForums Tanzania TOC iachwe ichape kazi; Viongozi wapya hawa hapa!

    Kazi ya hiyo kamati ni nini?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane :Sioni uwezekano wa watu kuandamana 7/7.

    Serikali haya maandamo hata hayakuwepo literally wenyewe wameyapa publicity Lakini maisha yatakuwa hivi daile mtu akisema maandamo viongozi wanakuwa panic attack
  13. S

    JamiiForums Tanzania RC Simon Sirro: Kwa uzoefu wa askari wetu kifo cha dereva wa Heche kilikuwa cha kawaida

    Si angeacha tu RPC azungumzie yeye hiyo inshu anahusikaje
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Tunaenda kupigwa tena na watu wa musoma now wanashangilia kitu wasichokielewa Kikubwa kuliko vyote wasitumie hela za PSSF mradi mzima kuna upigqji tu
Back
Top Bottom