ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,381
- 23,678
Unataka kusema mtoa mada analalamika bila sababu? Sababu anayo sana,ni kuhusiana na feedback,ni jambo muhimu kujua nini kinaendeleaHuoni kama ni Mungu aliufunga huo mlango ili upate huko kwingine kwenye perdiem?
Malalamiko yetu yasiyo na sababu huwa yanamkwaza sana Mungu.
Feedback haina umuhimu kwenye mapenzi pekee,uliyemtongoza atakupa feedback kwa namna nyingi ikiwemo kukukalia kimya tu