Recent content by somijo

  1. somijo

    Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    Andika link ya chanzo cha habari yako!!!vinginevyo kuna walakini
  2. somijo

    Je, mchungaji huyu hastahili kuwekwa kizuizini?

    Nina mke na watoto mkuu!!! Na asije akanitabiria kifo mapema na mimi bado nina majukumu Hahahahaaa
  3. somijo

    Je, mchungaji huyu hastahili kuwekwa kizuizini?

    Kuna mchungaji fulani amekuwa akitoa matamko ya kufa kwa watu fulani kisa wamefanya mambo ambayo hayamfurahishi. Kwanza aliwatishia waandishi wa habari walioandika tukio la kashfa yake ambayo aliripotiwa kuzidisha matumizi ya divai ambayo haipatikani kanisani. Pili kuna msanii kajinasibu...
  4. somijo

    Kuna kila dalili za Prof. Lipumba kuwa Waziri wa Magufuli

    Ndugu wana JF Prof. Lipumba ni mmoja wa wamchumi nguli waliowahi kutokea nchini. Huyu bwana mbali tuu na kujivua uenyekiti wa chama chake cha CUF katika kipindi ambacho walikuwa wanamhitaji sana, lakini yeye amemkubali Rais JPM kuwa rais halali tofauti na msimamo wa chama chake ambacho kinaunda...
  5. somijo

    Rais Kikwete atangaza Novemba 5, 2015, kuwa siku ya mapumziko

    Jumamosi na jumapili ni siku za ibada kwa madhehebu ya ki kristo!! Na ijumaa ni siku ya ibada kwa waislam!! Lakini serikali ililazimisha siku ya uchaguzi kuwa jumapili ambayo ni siku ya ibada. Kwangu mimi nadhani siku ya uchaguzi ni muhimu zaidi kuliko sikukuu zote za kitaifa/kiserikali. Kwani...
  6. somijo

    Mwigulu Nchemba aivuruga CCM Karatu

    Nyumbuuuuu!!!!!!
  7. somijo

    Mtaji mkuu wa siasa za ACT ni viongozi wa Chadema

    Ndugu wana JF Nilikuwa natizama mdahalo wa wagombea ubunge wa jimbo la ukonga. Nilichoona ni kuwa ndugu Habib Mchange wa ACT hana Sera au hawezi kujieleza ni namna gani ataleta na kutatua matatizo ya elimu, afya na mimba za wanafunzi. Nimejaribu kumwelewa Sera zake lakini nilichoambulia ni...
  8. somijo

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Haya safar njema Celina!! Mungu ndo anajua utumishi wako kwake na kama ulimcha kwa dhati!! Sisi twakuombea upunzike panapokustahili Ameen
  9. somijo

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Ndugu wana JF Utafiti na matokeo yalitolewa na taasisi hii kweli umedhalilisha taaluma ya utafiti ya watanzania. Kuna watafiti wengi wa kitanzania ambao wanaheshimika kimataifa kwa kazi zao zilizotukuka za utafiti hapa nchini. Walichokifanya twaweza ni kuacha misingi na miiko ya taaluma ya...
  10. somijo

    Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Hii kura imeharibika
  11. somijo

    Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Hii kura imeharibika
  12. somijo

    Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Hii kura imeharibika
  13. somijo

    Ufisadi wa Lowasa upo kwenye nini hasa???

    Mkuu!! Hoja ya slaa inashia pale tuu bunge lilipoishia hitimisho. Hana ushahidi zaidi ya pale na ndo maana alimwita Mwakyembe kabla ya press yake ya kwanza. Na kamati ya mwakyembe haijamsema directly El kuwa Richmond ni yake. Elewa hoja yangu!! I need a direct evidence linked to EL mischief...
  14. somijo

    Ufisadi wa Lowasa upo kwenye nini hasa???

    Wana JF Naombeni mnishawishi Kwa ushahidi wa moja Kwa moja na usio na maswali kuhusu ufisadi wa EL. Huyu mtu amesingiziwa kuwa fisadi zaidi kutokakana na skendo ya Richmond. Sasa mimi naomba niambiwe na nionyeshwe Kwa nyaraka/ vielelezo vinavyoonyesha ni namna gani huyu Jamaa alinufaika/...
  15. somijo

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nafikiri JK, BM wote watapitiwa, make hao ndo mafisadi nambar wani
Back
Top Bottom