Ufisadi wa Lowasa upo kwenye nini hasa???

somijo

Senior Member
Apr 14, 2012
110
47
Wana JF

Naombeni mnishawishi Kwa ushahidi wa moja Kwa moja na usio na maswali kuhusu ufisadi wa EL. Huyu mtu amesingiziwa kuwa fisadi zaidi kutokakana na skendo ya Richmond. Sasa mimi naomba niambiwe na nionyeshwe Kwa nyaraka/ vielelezo vinavyoonyesha ni namna gani huyu Jamaa alinufaika/ ananufaika na huu mradi. Au hata kama kuna jina la mwanae linagusa moja kwa moja au ndugu yeyote kwenye hiyo kampuni. Nikupe mfano, kwende kashfa ya Escrow, wahusika wameonyeshwa kinagaubaga na wengine wamekiri Kwa vinywa vyao kupokea pesa.

Lakini vilevile kuna vigogo nchini wanaosemwa kuwa mafisadi na ukweli unaweza kuamini Kwa vitendo vyao, mfano umilikaji wa mali, kama aliyekuwa mhasibu wa CCM, kuna mwingine ni kiongozi wa kilabu cha mpira, na mwingine nimeambiwa ana control mamlaka ya mafuta.

Dr. WS anamsema kuwa ni fisadi lakini haonyeshi direct evidence (without doubt) za namna gani EL ananufaika na Richmond( in short ni mzushi na akatubu)
Sasa naombeni mnisaidie nyie mnaomwita EL fisadi ni mali gani anamiliki huyu bwana, alizopata kifisadi, na ni kiasi gani?? Na anaufisadi gani mwingine??

Vinginevyo tuache ushabiki/ na kutenda dhambi ya uongo Kwa huyu Mzee!!!

Na ikiwezeka mpigieni kura na mwacheni tu awe raisi wa taifa hili then tuje tumhukumu 2020
Nawasilisha
 
Richmond muhusika ni Jk,ndiyo maana hawaendi mahakamani wanaishia kubweka bweka tu.
 
wana jf

naombeni mnishawishi kwa ushahidi wa moja kwa moja na usio na maswali kuhusu ufisadi wa el. Huyu mtu amesingiziwa kuwa fisadi zaidi kutokakana na skendo ya richmond. Sasa mimi naomba niambiwe na nionyeshwe kwa nyaraka/ vielelezo vinavyoonyesha ni namna gani huyu jamaa alinufaika/ ananufaika na huu mradi. Au hata kama kuna jina la mwanae linagusa moja kwa moja au ndugu yeyote kwenye hiyo kampuni. Nikupe mfano, kwende kashfa ya escrow, wahusika wameonyeshwa kinagaubaga na wengine wamekiri kwa vinywa vyao kupokea pesa.

Lakini vilevile kuna vigogo nchini wanaosemwa kuwa mafisadi na ukweli unaweza kuamini kwa vitendo vyao, mfano umilikaji wa mali, kama aliyekuwa mhasibu wa ccm, kuna mwingine ni kiongozi wa kilabu cha mpira, na mwingine nimeambiwa ana control mamlaka ya mafuta.

Dr. Ws anamsema kuwa ni fisadi lakini haonyeshi direct evidence (without doubt) za namna gani el ananufaika na richmond( in short ni mzushi na akatubu)
sasa naombeni mnisaidie nyie mnaomwita el fisadi ni mali gani anamiliki huyu bwana, alizopata kifisadi, na ni kiasi gani?? Na anaufisadi gani mwingine??

Vinginevyo tuache ushabiki/ na kutenda dhambi ya uongo kwa huyu mzee!!!

Na ikiwezeka mpigieni kura na mwacheni tu awe raisi wa taifa hili then tuje tumhukumu 2020
nawasilisha

kama ulizima tv kwa kuogopa ; unauliza majibu na maelezo ya dr slaa

chukua clip zote mbili ; msikilize dr ; halafu uliza wanasheria anahusikaje au wewe ni tundu lissu

mwanasheria magumashi; kashindwa kesi na msando
 
Lowassa hajawahi kuiba hata senti tano ya Nchi hii.
Wanamzushia tu. Ndio maana porojo zao zinaishia kwenye vyombo vya habari tu.
 
kama ulizima tv kwa kuogopa ; unauliza majibu na maelezo ya dr slaa

chukua clip zote mbili ; msikilize dr ; halafu uliza wanasheria anahusikaje au wewe ni tundu lissu

mwanasheria magumashi; kashindwa kesi na msando

Mkabidhini DPP hilo jalada alifanyie kazi.
Acheni ujinga.
 
kama ulizima tv kwa kuogopa ; unauliza majibu na maelezo ya dr slaa

chukua clip zote mbili ; msikilize dr ; halafu uliza wanasheria anahusikaje au wewe ni tundu lissu

mwanasheria magumashi; kashindwa kesi na msando

Sasa muhalifu huwa anatangazwa kwenye vyombo vya habari au anashitakiwa mahakamani?

Hapo ndo sijaelewa
 
kama ulizima tv kwa kuogopa ; unauliza majibu na maelezo ya dr slaa

chukua clip zote mbili ; msikilize dr ; halafu uliza wanasheria anahusikaje au wewe ni tundu lissu

mwanasheria magumashi; kashindwa kesi na msando

Mkuu!!
Hoja ya slaa inashia pale tuu bunge lilipoishia hitimisho. Hana ushahidi zaidi ya pale na ndo maana alimwita Mwakyembe kabla ya press yake ya kwanza. Na kamati ya mwakyembe haijamsema directly El kuwa Richmond ni yake. Elewa hoja yangu!! I need a direct evidence linked to EL mischief. Dr. WS amekuwa mropokaji na anajivunjia heshima yake tuu. Kwa nini anashindwa kuonyesha kuwa 2+3=5??
Haya mwenzio kashindwa kunionyesha, nioshenyeshe wewe sasa sio na wewe unaiga bila kutumia hata asilimia moja ya ubongo wako.
 
sasa muhalifu huwa anatangazwa kwenye vyombo vya habari au anashitakiwa mahakamani?

Hapo ndo sijaelewa

tanzania hakuna sheria ya private proscution; anayetakiwa kuwashtaki mafisadi papa 11 ni jamhuri

uwe unamsikiliza slaa ingawa umpendi

something is better than nothing
 
mkuu!!
Hoja ya slaa inashia pale tuu bunge lilipoishia hitimisho. Hana ushahidi zaidi ya pale na ndo maana alimwita mwakyembe kabla ya press yake ya kwanza. Na kamati ya mwakyembe haijamsema directly el kuwa richmond ni yake. Elewa hoja yangu!! I need a direct evidence linked to el mischief. Dr. Ws amekuwa mropokaji na anajivunjia heshima yake tuu. Kwa nini anashindwa kuonyesha kuwa 2+3=5??
Haya mwenzio kashindwa kunionyesha, nioshenyeshe wewe sasa sio na wewe unaiga bila kutumia hata asilimia moja ya ubongo wako.

anayeshitaki ni jamhuri
tanzania hakuna sheria ya private proscution

ila kasema yeye atakuwa shahidi no 1

tatizo nini; lazima lifungwe hizi taabu za umeme ziishe
 
tanzania hakuna sheria ya private proscution; anayetakiwa kuwashtaki mafisadi papa 11 ni jamhuri

uwe unamsikiliza slaa ingawa umpendi

something is better than nothing

Na ndio maana tumeelewamkuwa jamhuri ya masisyemu imeshindwa kazi, yani hata ya kumchukulia hatua stahiki mvunjaji sheria. Na hii ndiyo SABABU YA HITAJI KUU LA MABADILIKO. Kuwang'oa hawa masisyemu wanaoshindwa kusimamia serikali ili itekeleze majukumu yake vyema.

Kila utetezi mnaotoa unazidi kuisafisha njia ya LOWASSA, bora mtulie tu dawa iingie na mkapige kambi pale jangwani kuendelea na fiesta mliyoianzisha tarehe 23 August. Dayamondi Pulatinumuzi si bado yupo?
 
Sasa proscution ndo nini?

Sasa tumekosea njia vyama vyetu vilikuwa na uwezo mkubwa kiushindi na tungenyoosha nchi sasa timewazoa tuliotaka kupambana nao tukawapa urubani! Tutafika? Afadhari nishuke nitembee hata kwa TINGATINGA.
 
Back
Top Bottom