somijo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 110
- 47
Kuna mchungaji fulani amekuwa akitoa matamko ya kufa kwa watu fulani kisa wamefanya mambo ambayo hayamfurahishi.
Kwanza aliwatishia waandishi wa habari walioandika tukio la kashfa yake ambayo aliripotiwa kuzidisha matumizi ya divai ambayo haipatikani kanisani.
Pili kuna msanii kajinasibu kuanzisha hekalu lake na kasema kwenye hiyo ya ibada atakayoianzisha kutakuwa na kumwabudu Mungu kwa kweli na si upigaji au biashara ya kanisa. Naye katamkiwa kifo baada ya miaka mitatu.
Sasa je huyu haya matamko yake sio hatarishi kwa ustawi wa hawa raia wengine?? Mamlaka husika ziko wapi kumhoji kama anavyohojiwa Jamaa mwingine wa kanda ya kaskazini kwa kuoteshwa?
Naomba tulijadili hili kwa mustakabali wa waliotabiliwa vifo.