Recent content by Solorpower

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tabora: Uhaba wa Mahakimu ni kuminya haki za wananchi

    Mkoani Tabora Mahakama ya Mkoa na Wilaya ziko eneo moja, nilifika jana na kushindwa kupata huduma mapema, kuna Mahakimu 2, mmoja ni wiki sasa ameenda kuchukua mizigo, ni mgeni kituo hiki. Huyo aliyebaki kazi yake ni kuahirisha kesi, kazidiwa, haki za watuhumiwa ziko wapi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majambazi warushiana risasi na Polisi, Clock Tower jijini Dar

    uharifu umeongezeka polisi walipopelekwa dodoma kusimamia mkutano, lini watarudi mikoani vituo vyao vya kazi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Pole wafiwa, lakini kwa weledi huu wa maafande wetu, sanda na majeneza soko ni kubwa!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Magufuli ni sawa na kondoo anayeenda kuongoza kundi la mbwa mwitu wenye njaa hatari

    ni ukweli usiopingika hakuna chama chenye sera nzuri kama ccm, hata ukiniamsha toka usingizini nitakwambia hivyo, kwa upande wa pili ccm imetekwa na kuziacha sera zake kwenye makaratasi, na hajapatikana wa kusema INATOSHA turudi kwenye mstari!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    wajumbe ni 2500, mbona idadi yako inakuwa 2612?
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Kutoka kuchekeana hadi kutishana

    hakuna ushahidi kukosekana, ni mawakili au waendesha mashtaka kugeuka na kuwa upande wa washtakiwa!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Mi si mgawa pumzi, bali tuombe tuwepo wakati el akiapishwa, amejipanga, ana vigezo vyote kwa 'standard' ya nchi yetu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wana NSSF

    pole ndugu, yote tisa sawa, lakini hili la uchwara, naona kama unawapa hadhi ambayo si stahiki! nipo nao mwaka sasa kama mwanachama wa hiari, nssf mambo yao kwa mtazamo wangu, kama bima yao ya afya naona safi sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Sabasaba kwa Moshi yanafanyikia wapi?

    kaa chonjo, yule mzee mwenye bakora anaeshughulikia wachafu wa lugha fimbo yake itatua kwako! hujui au unajua tofauti ya MAONESHO na MAONYESHO?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msekwa apigilia msumari wa moto kwa Lowassa na Membe, ukiukwaji wa masharti kuwaengua

    unamtabiria mwenzio kifo? kumbuka 'when ever u point an evil finger to.....'
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mjusi na Panya kutembea ukutani bla kuanguka, Sayansi gani iliyopo hapo?

    sure. that is the exact answer
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi kuhusu sarafu yetu

    maswali yako yananipa shaka na kupata hisia jf imeingiliwa na watoto wa chekechea, na si house of great thinkers, kwani hata aliehitimu darasa la saba kwa weledi anayo majibu kwa maswali yako!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    sheria kibao, zote kuilinda kada ya wateule!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    mbona hakuna jipya?
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Kuna ulazima mke kumpa mme maji ya kuoga?

    Ni mila na desturi, ni mazoe, na wenzetu wazungu mazoea kwao ni kazi ya mme kumfungulia na kumfungia mke mlango wa gari.
Back
Top Bottom