Nina maswali mengi kuhusu sarafu yetu

Nina maswali mengi kuhusu sarafu yetu

Mkuu naomba unitoe matongotongo kwenye kipengele cha pili,ikiwa uingizaji wa bidhaa nyingi nchini husababisha kushuka kwa thamani ya pesa yetu,Sasa kwanini Kanchi km Burundi wanaotutegemea kwa kila kitu Pesa yao ipo juu kuliko yetu?,halikadhalika Rwanda huko ndo usiseme.Fafanua mkuu!.

Sijaufatilia uchumi wa Burundi na Rwanda lakini hizi zinaweza kuwa sababu..

'Balance of payment' ni tofauti ya malipo kati ya vitu tunavyoagiza na tunavyouza, yawezekana Burundi inatutegemea baadhi ya vitu lakini vitu husika vikawa gharama yake ndogo sana na wenyewe wakawa wanajizalishia vitu muhimu vyote, inawezekana nchi husika wana mfumo mzuri wa kubana matumizi yake, mfano labda Burundi wameshajenga mtandao wao wa miundombinu kama barabara au hawana lakini hawajengi lakini Tanzania inatumia pesa nyingi kusambaza mtandao wa barabara hivyo japo hujaona bidhaa iliyoingia lakini ujenzi husika ni zaidi ya kuingiza tani na tani za bidhaa. Unaweza kua unaishi mjini hivyo ukaona ni pato kubwa linalozalishwa lakini ujue pato hilo tunagawana na sehemu kubwa sana ya Tanzania ambayo uzalishaji wake ni hafifu sana au ni karibu na hakuna tofauti na nchi kama Burundi.
 
Nimekupata mkuu!,yawezekana hiyo ikawa sababu,lkn upande exportation wao ni kidogo sana!,mimi nipo mpakani hapa wale jamaa tunawapelekea Vyakula aina karibia zote,Samaki,Magodoro,Juice za azam,Soda wanazokunywa nyingi zinatokea huku kwetu,Mitumba,n.k.wao wanacho export ni mbao japo sio sana,pia sabuni zao ni nzuri huwa zinakuja kwetu,ni hivyo tu!.
 
Sijaufatilia uchumi wa Burundi na Rwanda lakini hizi zinaweza kuwa sababu..

'Balance of payment' ni tofauti ya malipo kati ya vitu tunavyoagiza na tunavyouza, yawezekana Burundi inatutegemea baadhi ya vitu lakini vitu husika vikawa gharama yake ndogo sana na wenyewe wakawa wanajizalishia vitu muhimu vyote, inawezekana nchi husika wana mfumo mzuri wa kubana matumizi yake, mfano labda Burundi wameshajenga mtandao wao wa miundombinu kama barabara au hawana lakini hawajengi lakini Tanzania inatumia pesa nyingi kusambaza mtandao wa barabara hivyo japo hujaona bidhaa iliyoingia lakini ujenzi husika ni zaidi ya kuingiza tani na tani za bidhaa. Unaweza kua unaishi mjini hivyo ukaona ni pato kubwa linalozalishwa lakini ujue pato hilo tunagawana na sehemu kubwa sana ya Tanzania ambayo uzalishaji wake ni hafifu sana au ni karibu na hakuna tofauti na nchi kama Burundi.

Hivi mkuu Vita haina madhara kweli kwenye thamani ya pesa?,Km ndiyo vipi kuhusu Burundi machafuko kila leo lkn pesa yao bado inaitambia shilingi yetu?.
 
Habari zenu wakuu nisaidieni mambo haya
1. Hivi PESA tunazotumia huwa zinatengenezwa nchini mwetu au nchi nyingine?

2. Na vitu gan vinashusha thamani fedha ya nchi yetu?

3. Na kama inatengenezwa Tanzania kwa nini zisitengenezwe nyingi ili nchi isiwe na madeni na kuomba msaada

4. Na bajeti inayopangwa bungeni ni fedha zinatumiwa kwa mwaka au?

Zinatengenezwa Nje ya nchi kwa kodi zetu walalahoi na kushuka thamani inatokana na sisi na kutouza bidhaa nje na kutegemea ku In pot kila kitu na kukosa Fedha za kigeni
 
Habari zenu wakuu nisaidieni mambo haya
1. Hivi PESA tunazotumia huwa zinatengenezwa nchini mwetu au nchi nyingine?

2. Na vitu gan vinashusha thamani fedha ya nchi yetu?

3. Na kama inatengenezwa Tanzania kwa nini zisitengenezwe nyingi ili nchi isiwe na madeni na kuomba msaada

4. Na bajeti inayopangwa bungeni ni fedha zinatumiwa kwa mwaka au?

maswali yako yananipa shaka na kupata hisia jf imeingiliwa na watoto wa chekechea, na si house of great thinkers, kwani hata aliehitimu darasa la saba kwa weledi anayo majibu kwa maswali yako!
 
Usimponde jamaa hivyo. Nchi kama Zimbabwe iliyo na wachumi wengi wenye shahada za uzamivu ilifanya ujinga wa kuchapa fedha nyingi - ndio tusio wachumi kuuliza maswali haya utuone chekechea?
 
Back
Top Bottom