Recent content by Soloma TV Online

  1. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Kesho kutakuwa na mpira usio wa kiufundi Al ahly vs Simba

    Kutokana na umuhimu wa mchezo wenyewe kila mmoja akizihitaji alama tatu muhimu lakini pia kuweka Historia kwenye Mashindano mapya ya AFL. Si hivyo tu kutokana na ukubwa wa kila timu haitokuwa rahisi kufa kijinga kila mmoja atamvimbia mwenzake kitu kitakachoufanya mchezo kukosa mvuto na Pira...
  2. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Cedric Kaze aonesha ubora wake mbele ya waajiri wake wa zamani Yanga

    Kwa namna mchezo ulivyopigwa leo hii kati ya Yanga na Namungo ni dhahiri kuwa Namungo waliwawin Yanga, na hii ni Ukomavu na ubora wa Kocha wa Namungo Cedric Kaze katika Usukaji wa Safu ya ulinzi. Na kilichowafanya Yanga kushinda ilikuwa ni hali ya kupambana mpaka mwisho pasipo kukata tamaa.
  3. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Ni kivumbi huko kigali rwanda yanga vs el merrikh & apr

    Timu ya soka ya Yanga inakwenda kuandika Historia yake ndani ya jiji la Kigali Rwanda kunako michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Iko hivi siku ya kesho Jumamosi ya tarehe 16.9.2023 wageni Yanga watavaana na wenyeji wao El Merrikh katika kusaka nafasi ya kutinga hatua ya Makundi ya...
  4. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Al Ahly wamdaka Antony Modeste kutoka ligi Bundesliga ya Ujerumani

    Unapozungumzia Uwekezaji katika SOKA ndiyo huu, ili uweze kuwa bora na imara ni lazima utafute wachezaji wa kukufikisha huko. Timu ya AL Ahly ya nchini Misri imeamua kufanya hivyo kwa kumdaka Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa Anthony Modeste aliyekuwa akikipiga kunako timu ya Dortmund ya...
  5. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Aubin Kramo amekuwa rafiki wa majeraha toka atue klabuni

    Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga ndani ya Timu ya Simba ya Tanzania Aubin Kramo amekuwa rafiki wa majeraha toka atue klabuni hapo, na mshangao kwa wengi ni pale anapokumbwa na majeraha kila mchezo unapokaribia. Hivi karibuni matumaini kwa mashabiki wa Simba yalianza kurejea...
  6. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison (Ben Maokoto) awajaza kwenye rada Waarabu

    Mchezaji wa Kimataifa wa Ghana mtukutu Benard Morrison au BM3 au Ben Maokoto au vyovyote vile utakavyomwita awajaza Waarabu kwenye Rada yake. Na hatimaye wamejaa. Pamoja na kutokuwa na imani naye kutokana na faili lake kutokuwa zuri kwenye Timu zote alizopita kwa shingo upande AS FAR RABAT...
  7. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Ni Mchezaji gani wa Taifa Stars alikuvutia kwenye mchezo wao na Algeria jana?

    Jana tumeshuhudia mchezo wa kiume kweli kweli kati ya Taifa Stars na wenyeji Algeria. Wachezaji wa Taifa Stars jana wameipigania Bendera ya nchi yao kweli kweli, pamoja na Algeria kusheheni mastaa lakini Taifa Stars walilipambania lengo lao mpaka filimbi ya mwisho ya Refa. Kwa mtazamo wako, ni...
  8. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania wanahitaji Katiba Mpya au Elimu ya Katiba Mpya?

    Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya. Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya? Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha...
  9. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Fei, Tshabalala na Kapombe nje stars?

    Kama ilivyokuwa kwenye mkeka wa Teuzi za Mawaziri na Makatibu wa Wizara mbalimbali kutoka baadhi ya Waheshimiwa walikuwa bize kuangalia kama wametokea kwenye mkeka huo ndivyo ilivyokuwa kwa wadau wa soka walivyokuwa bize kuangalia mkeka wa Taifa Stars. Macho ya wadau yakajikuta yakianza juu na...
  10. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

    Katika dakika ya 7' tu mchezaji Max hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kutoa zawadi kwa mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi wakiwa kwenye style yake ya uchomekeaji wa Jezi.
  11. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Miguu ya ronaldo ndani ya akili ya sadio mane

    Timu ya AL Nassr inazidi kujipatia Umaarufu mkubwa Duniani kutokana na Uwekezaji wake kwa namba mbili yaani CR7 na SM10. Hawa viumbe wamejitengenezea Ulimwengu wao ambao unawapa kila wanachokihitaji kwa wakati sahihi. Mfano, Sadio Mane anaichezesha akili yake kuhakikisha Ronaldo anaitawala miguu...
  12. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Wababe wa AS Otoho d’Oyo waukodolea macho uwanja wa Chamazi

    Kutokana na hali kutokuwa shwari nchini Sudan kuna uwezekano mkubwa kwa timu ya AL Merrikh kutafuta Uwanja nje ya Sudan watakaoutumia kama wa nyumbani dhidi ya Yanga. Na hii inaweza kuwaongoza moja kwa moja ndani ya Uwanja wa Chamazi ulioko Dar es Salaam Tanzania. Uwezekano ni mkubwa kwa...
  13. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa timu ya Mashujaa FC wameanza kuliteka Vibe la Soka la Tanzania

    Mashabiki wa timu ya Mashujaa FC wameanza kuliteka Vibe la Soka la Tanzania ambalo limeanza kupoteza mvuto wake kwa timu za mikoani. Ukiachana na Timu za Simba na Yanga pamoja na Azam kwa kiasi chake timu nyingine ambazo ziliteka hisia za mashabiki kiasi cha kufanya biashara ya Jezi zao Tanzania...
  14. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Edna Lema kocha msaidizi Biashara united ya Mara

    Aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga Princess Edna Lema atangazwa kuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Biashara United ya mkoani Mara akiungana na Aman Josiah na Ivo Mapunda.
  15. Soloma TV Online

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachezaji wasiingie mikataba binafsi ya udhamini?

    Tumeona haya kwenye soka la wenzetu huko Duniani wachezaji wakivuna mabilioni ya dollars kwa kuingia mikataba binafsi ya Udhamini. Na hii inamfanya mchezaji kuvuna pesa ndani na nje ya Uwanja. Kutokana hili katazo lililotoka kwenye mamlaka za michezo litaleta afya kwa wachezaji wetu hasa hawa...
Back
Top Bottom