Recent content by solidgirl

  1. solidgirl

    Dawa ya chunisi kwa mjamzito

    pumzika tu mamy chunusi za ujauzito hazitokagi matter of time ukijifungua zitaondoka zenyewe kwa sababu zinasababishwa na hormonal imbalances hata upake nn hazitoki
  2. solidgirl

    selection udsm

    lini mambo haya yalitokea
  3. solidgirl

    selection udsm

    kuna habari nimeiona mitandaoni lakini sijapata chanzo makini cha kudhibitisha hilo. chuo kikuu cha Dar es salaam wametengua usaili wa wanafunzi wake takribani 682 waliokuwa wamedahiliwa chuoni hapo. naomba mwenye kujua lolote kuhusu hili jambo atueleze
  4. solidgirl

    Shule ya sekondari walu ul wasr kibaha

    Hahahaaa najua kijana anaweza kuwa me au ke.
  5. solidgirl

    Shule ya sekondari walu ul wasr kibaha

    Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini na matokeo ya necta nimejaribu kuangalia kidogo. Nahitaji mchango kwa waliopitapita hapo nachelea...
  6. solidgirl

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Kutoa maneno kama haya inaonyesha huna malezi yenye maadili. Mungu saidia ili tupate wazazi wenye hekima kwa malezi mazuri ya watoto wetu ambao ni taifa la kesho. Ww kama ni baba wa familia unatoa maneno ya shombo kiasi hicho sina imani na maadili ya watoto wako
  7. solidgirl

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo loshoto tanga nije Bagamoyo kibaha au Mkuranga idara msingi
  8. solidgirl

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Hahahaaaaaa teh teh nimechekaa sana mpka mdogo wangu ananiuliza huko chumbani unacheka na nani na watu wote hawapo. Kusema kweli you made my day brooo
  9. solidgirl

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mbali ya kuwa watt hawapendi kujifunika na kesi ya joto pia ila binafsi yangu sipendi kumfunika mtt kwa kesi ya usalama wanapenda kuvutavuta nguo ili atafute mwishoni zimfunike asiweze kupumua mmmmmmh nawazaga sana bora nimvalishe mikanyela mumo ya kulalia full joto
  10. solidgirl

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Ni nyingi kwa kweli. Ila sijui hata nikwambiaje I remember my son akiwa na umri before 6 months alikuwa hataki kulala na anakomaa kwelikweli nikaamua kumpa uji wa kuchuja after that akawa analala vzr tu. My be factor ya c section
  11. solidgirl

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Huyo mtoto hashibi ndio maana halali mpe msosi wa maana uone kama hatalala
  12. solidgirl

    Serikali kupitia TCRA yavifungia Vituo vya Redio na TV vikiwemo Star TV, Uhuru FM, RFA...

    Usiwe mzembe kiasi hiki! Hiyo habari umeisoma vzr au umekurupuka wameandika ni kuanzia tar 18 inaonekana hata tar hujui
  13. solidgirl

    Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

    Mwisho Wa kuripoti mana wengine tumezoea deadline
Back
Top Bottom