Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

It's early, tumbo linapaswa kuzoea mdogo mdogo introduce one food at a time itasaidia kuscreen out hata vinavyoweza kumdhuru, allergies etc
haya nitafanya hivyo kwa hiyo akiingia miezi sita nachuja unga au napika kama ulivyo?
 
haya nitafanya hivyo kwa hiyo akiingia miezi sita nachuja unga au napika kama ulivyo?

Two first weeks unaweza kuuchekecha kupata uji mlainiiiiii ili aanze kujizoesha vitu vingine mdomoni, later on anaweza kupata ambao haujachekechwa..... Kuanzia mwezi wa saba unaweza kuintroduce new food at a time (kila wiki)
 
wanasema hakuna mtu anaeweza kukufundisha malezi ila mimi naamini uzoefu wa watu wengine ukiuweka vyema kichwani mwako unaweza kukuboreshea familia yako

Asante sana @MshanaJr

Asanteni sana mliotoa mchango wenu hapa

asanteni nyote mnaosoma na kupita:);)
 
Aaamen
 
Wanawake wa siku hizi wanajua kupanua tuu,hopeless. Ahsante mkuu kwa mada hiz.
Kutoa maneno kama haya inaonyesha huna malezi yenye maadili. Mungu saidia ili tupate wazazi wenye hekima kwa malezi mazuri ya watoto wetu ambao ni taifa la kesho. Ww kama ni baba wa familia unatoa maneno ya shombo kiasi hicho sina imani na maadili ya watoto wako
 
Watoto wangu wako vizuri sana aise. Ila nasema kwa wale wanawake wanajua kuzaa tu huku hawajui kulea na wala kujisimamia kulea watoto. Nimekutana na hilo kupitia rafii yangu. Hv inawezekana vipi mwanamke unamwacha mtoto wako unaenda kuolewa na mwanaume mwingine sababu ya msukumo wa wazazi kutaka dini moja?

Kwa mantiki hio,sijuti kuandika nilichoandika. Mimi nina uwezo wa kukaa na watoto wangu bila mama yao na nakuhakikishia wanaweza hata kutokumbuka mama yao.
 
Back
Top Bottom