Recent content by Soliambingu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    We ndio muongo kabisa unajua babaake obama alikuwa nani kenya,alikuwa mchumi mkuu wa serikali kenya atakuwaje na hali duni? But haliduni haihalalishi ww kufanya uhalifu kama makonds
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Mkuu wa Mkoa utakayeteuliwa

    Jana nilikuwa nasikiliza radio clouds nikiwa ktk kazi zangu ,watangazaji walikuwa wasichana wanaonyesha wa town haswa basi wakawa wanasema kolomije kisha wakacheka sana, chezea watoto wa town clouds wamemtumia bashite kwa interest zao leo wanamcheka but ni kweli ushamba mzigo na watu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ahimiza usimamizi ujenzi wa barabara zenye viwango

    Hivi,jamaa hana aibu kabisa,amepoteza credibility kabisa hadi secritary wake kisiri wanamdharau, muhimu ni kutoa vyeti tu mbona simple tu au ajiuzuru au wamtoe kiaina wampeleke ubalozini huko akawe msaidizi wa balozi hivi watu wamsahau maana ni aibu kubwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Huyu jamaa iq yake iko chini mno,sasa anajibu madudu gani hayo,hata kujibu hoja hajui ,mbona simple tu,mkuu toa vyeti hayo ya ugumba hatuna haja nayo,tunataka vyeti
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Serengo bora ww hilo jina halijakusaidia kufaulu,makonda katumia cheti cha mwingine ndio shida hapo,lakini hata ww kwa zamani ungegunduliwa ungetumbuliwa form one,lakini tukiri hata ww hujisikii raha,kutumia jina la mwingine,je huyo jamaa akija na cheti cha kuzaliwa akadai hivyo vyeti...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    Hapendi mapambio sawa tu,pia hawapendi yanga sawa tu,he is too hash kwani kuna ubaya gani? yetu macho 2020 atakavyowatafuta waimba mapambio kwa tochi na kuwa mgeni rasmi mechi ya yanga na simba
  7. S

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kama kuna ofisa anamuhitaji mbunge aniambie, hatuwezi kwenda kibabe

    Massage sent kwa mkulu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango Wizara ya Fedha

    Jina lake nani? mwanri hujaelewa tu,tafakali kwa kina tu utaelewa what is going on
  9. S

    JamiiForums Tanzania Manji na Gwajima waondolewa Kituo cha Polisi na gari jeupe chini ya ulinzi kuelekea katikati ya jiji

    Walipelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali kupimwa kawaida tu hiyo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

    We jamaa una shahada kweli sidhani kama una credit za o level na principle za a level maana ujinga umekuzidi hiyo shule unafundisha mazero kibao
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye "clip" ya Lissu wakati anahutubia mkutano wa kampeni huko Diman, Zanzibar atuwekee hapa

    Hamjamuelewa neno kama walanguruwe linabadilisha kila kitu siyo wala nguruwe bali,kama,
  12. S

    JamiiForums Tanzania Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

    Kwa hiyo hata huo unga hawajamkuta nao kama bangi wasihangaike waende timu zote za mpira jioni watawakamata mpaka uwanja wa taifa utajaaa wavuta bangi ni wengi mno wala siyo habari hiyo nenda site za ujenzi wati karibia woye wanapiga watamfunga tu wema wapate kiki but case haina mashiko mi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Reli vs Gharama ya Bomba la Mafuta

    TRA chato na airport ya chato tender ilitangazwa lini,pia unadhani mchina mjinga pesa atoe yy kazi wapewe wengine mturuki fundi sawa pesa za mradi anazo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

Back
Top Bottom