Mwenye "clip" ya Lissu wakati anahutubia mkutano wa kampeni huko Diman, Zanzibar atuwekee hapa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Nilisikia akiihutubia huko Zanzibar kupitia clip aliokuwanayo mshikaji mmoja na baada ya kuisikia nilihisi nini kinaweza kufuata hivyo nasubiri kithibitisha tu hisia zangu.
 
Nilisikia akiihutubia huko Zanzibar kupitia clip aliokuwanayo mshikaji mmoja na baada ya kuisikia nilihisi nini kinaweza kufuata hivyo nasubiri kithibitisha tu hisia zangu.

Katika nchi zingine sidhani kama ingekuwa ni tatizo.
Kumbe ni mambo ya zanzibar tena...

Haya ngoja tusubirie
 
bagamoyo naona malaika wa nchi hii wapo busy kujenga viwanda kwa kuwakamata wasema ukweli,Lowassa alisimama tu stand kupunga mkono na akakamatwa,ila Mtakatifu anazurura hadi kwenye vibanda vya kupigia kiwi,ni baraka!!

No wonder yule jamaa aliposafiri tu nchi nzima mvua zilinyesha,ila aliporudi tu ukame umeanza,sasa mtakatifu huyo sijui ndio kabarikiwa,maana utawala hutendewa kwa matendo yake ya watawala,baraka au laana
 
Nilisikia akiihutubia huko Zanzibar kupitia clip aliokuwanayo mshikaji mmoja na baada ya kuisikia nilihisi nini kinaweza kufuata hivyo nasubiri kithibitisha tu hisia zangu.
Sasa hii clip ata wewe ulishaona, alichofanya Lisu sio siasa bali kujaza watu chuki, wala nguluwe ndio nini
 
Sasa hii clip ata wewe ulishaona, alichofanya Lisu sio siasa bali kujaza watu chuki, wala nguluwe ndio nini

..dawa siyo kumkamata.

..dawa yake ilikuwa kumuonyesha TL akila nguruwe, maana TL ni Mkristo.

..au ungeweza kutafuta wala nguruwe wenye heshima zao wahoji busara za TL.

..hivyo ndivyo mchezo wa siasa unavyochezwa. Siyo mtu akizidiwa kauli anaita Polisi.
 
mhh huyu naye atakaaa ndaniiii!!!!!
looh haya mtukufu kazin
 
Back
Top Bottom