Recent content by sokwemtu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Robert Mugabe aanza rudisha mashamba kwa wazungu

    System ya kutumbua maji...........u!!!!!!!!!!!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Washambulia Raia Congo

    Nipo lubumbshi ni kweli jana nilisikia hali haikuwa shwari kabisa ktk kitongoji cha njanja kenya na kulikuwa na upekuzi kwa kila anaepita ktk sehemu hizo.Ila kwa mjini palikuwa kimya sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi kuhusu Bill Gates

    Watoto tayari wanazo akaunti zao hasitudanganye.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea urais Donald Trump zinamtosha?

    Wamarekani wote waondoke Afrika wapuuzi sana tena wabaguzi wa rangi na dini.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea urais Donald Trump zinamtosha?

    Zanzibar hoyeeeee!!! cuf ekotiteeeeeee.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea urais Donald Trump zinamtosha?

    Rudisha wote baba!!!!!!!×10000=wahamiaji haramu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

    Zipo ila pana usumbufu sana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Amekufa baada ya kupigwa na polisi wa Kilwa road..!!

    Israeli anamtoa mtu roho kidizaini ndivyo alivyopangiwa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Kwani hawezi pata kazi sehem nyingine?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

    Ila ukija ujiaendae kushinda njaa maana chakula huku tabu labda ujipikie mwenyewe na ghara za kuishi ni juu sana kuliko maelezo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

    Kwa sasa nipo lubumbashi mji wa madini ya copper unataka kufanya biashara gani?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mada moto channel 10: Nani ni raia wa Tanzania?

    Maeneo yote ya mipakani jamii imeingiliana.Mfano kuanzia,mtukula,karagwe,ukanda wa sirari,tarime,shirati,utegi,mkinga,ngara,kalinzi,mabamba,manyovu,mtambaswala,mahuta,mtwara,kyela,tunduma,sumbawanga,rulenge,mahundo n.k.Ukifatilia utakuta chembechembe za haemoglobins za nchi jirani kwa hiyo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mada moto channel 10: Nani ni raia wa Tanzania?

    Bantu na nilotes
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mada moto channel 10: Nani ni raia wa Tanzania?

    Ok. Kigoma siyo sehemu ya Tanzania,kwahiyo anataka tuwafukuze waha au tufanyeje?
Back
Top Bottom