Mku ushahidi zaidi wa nini.
Wakati sifia sifia na nguvu kubwa kulazimisha jambo inaonekana.
Angalia TBC majibu utayaona.
Mimi na ukada wote ninachoka tusifie mara moja kwa mwenzi sio kila siku yale yale ndo mwisho tunaoneka wote bado
Mwanaccm mwenzangu ninaamini katika ukweli. Mku Chadema sio chama cha msimu tena kila kona ya Nchi katika mijadala ya siasa Chadema ina msingi mkubwa sana kwa raia wanaoishi Itikadi
hiki chama na hiyo Itikadi inaishi rohoni mwao.
Kwa hiyo Chadema si chama kubeza.
Ulishawahi kujiuliza kwa nini...
Nakumbuka Mbowe aliwapa nafasi ya kuomba msamaha. Ninaamini 19 kuvaa gwanda ndo kuonyesha Itikadi yao wanayoishi nayo rohoni Kama nilivyo Mimi mwanaccm
Mku Itikadi inashi Rohoni kama ilivyo Imani unayoishi ww.
Kumbuka Chadema imekeza kwa Wanachama sio kwa Mtu.
Mfano anangalia pale chadema changamoto raia hujitoa kwa ajili hicho chama kwa njia ya Michango na misaada mingine.
Sawa mwanaccm mwenzangu bila upinzani tutapiga usingizi wa kusifia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.