Recent content by sojer

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Kazi kwelikweli
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Kaka nimekushukuru kwa msaada wako ,sana tena sana ,na mungu aendelee kukubariki ,na namba yako nimeisave kuna siku shukrani yangu utaipata Ahsante ,hata kama huamini siku ukiwa dodoma tunaweza kuonana uzuri mawasiliano ninayo (sijajua nini ila tu nafsi iligoma kabisa nilikuwa sina sababu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Mungu hamtupi mja wake
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Aisee ,shukrani kwa msaada wako ,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Nimekutumia inbox
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Mkuu nimeuza vitu vingi sana vya ndani na nilivyokuwa navyo hivyo kuuza simu sioni kama itakuwa solution na mara nyingi simu kama inanisaidia kutoa stress nikiingia mtandaoni na vitu kama hivyo na kwa asilimia kubwa simu ndo inanisaidia sana na nikiuza ndo naona maisha yatakuwa mabaya sana mkuu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Mkuu walezi wapo ila hali yao ni ngumu sana na mara nyingi nikipata kiasi cha pesa huwa nawatumia hivyo nao ni tegemezi kwangu Dodoma nina wiki now maana nilikuja labda kuomba udharula wa ajira wizarani lakini wamenitolea nje kuwa hamna kibali cha ajira now
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Sina biashara kamili mkuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Mkuu detail zote ninazo vyeti,kitambulisho,cheti cha kuzaliwa pia mimi ni mwaminifu sana aisee
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Father of all Snipers, Shukrani kiongozi Nipo kwenye mtihani ambao kiukweli mbele naona giza tu Kusoma ualimu bila ajira ni sawa na sifuri mkuu yaani hapa nilipo sioni chochote kinachoweza nisaidia kupitia huu ualimu zaidi ya kufundisha yaani katika maisha yangu naona hauna msaada wowote...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Mkuu maisha mapito ningekuwa na home ningelikuwa nimesharudi muda mrefu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshauri/ushauri

    Habari za majukumu wapendwa, Nianze kwa kuomba radhi kwa baadhi ya watu kama nitakuwa nimewakosea kwa hiki nitakachoandika japo mimi naandika kutokana na yale nayopitia hivyo kama utanielewa nipo katika hali gani ushauri wako wa mawazo ni muhimu sana. Kwa ufupi hapa nilipo kila jambo...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

    Umesikika mkuu
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

    Duuh mkuu acha unafiki basi kukaa kimya nako ni busara sio kuongea uongo usio na maana mm ndo nayejua hali nayopitia kwa sasa
Back
Top Bottom