Recent content by Software Engineer

  1. S

    JamiiForums Tanzania Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

    Huyu ni mwamba ni balaa. Nili apply kazi pale hadi nikachoka.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    1. tburudani - unaangalia movie kibao kupitia TTCL 2. fastbima - unanunua bima ya gari kidigitali
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

    Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje? Hakukuwa na coordination kati yao? ========== Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos. A video posted by the Daily...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Bei zake zikoje ? Nipe contact za wahusika niwacheki
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    mrangi Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Nipo Tegeta hapa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Asante mkuu. Bunju A sehemu gani? Nikiwa pale barabarani tuu nitayaona hayo malori?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba. Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali. Nipo jijini Dar es Salaam.
  10. S

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mashine karibia zote zipo alibaba.com, cheki hapo ukikosa niambie nikusaidie kucheki sehemu nyingine.
  11. S

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Karibu sana, ingawa sipo active sana JF, nitajitahidi kuchangia kadri navyoweza
  12. S

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    S Safi sana. Ili tuendelee kama Taifa lazima tupeane info za msingi kwa haraka sana. Kila la heri
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Currently in TZ , what is the average price for a professionally done website?

    Bei za Tanzania haziko standard kiivo 1. Static website - 350k ~ 750k 2. Dynamic website - 1M ~ 2M
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uber-Like Places Autocomplete

    Wadau nimejaribu kutumia Uber-app naona "Places Autocomplete Feature" yake ina uwezo wa kutoa suggestions za maeneo mengi na kwa usahihi wa juu zaidi ukilinganisha na ile inayotolewa na "Google Services Places Autocomplete". Uber wanatumia mbinu gani kuboresha mfumo wao hasa "places suggestions"?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu hospitali nzuri ya macho kwa hapa Dar na gharama zake

    Unatakiwa utafute Daktari mzuri, na siyo hospitali nzuri. Nenda Hindu Mandal, POSTA, kuna daktari anaitwa Susan, yupo siku J4 & J5 kuanzia saa kumi (10) jioni. She is the best.
Back
Top Bottom