Recent content by SOFASHAKA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

    Hata mimi imenitokea hiyo jana, muhudumu alimwambia mwenzake mpelekee yule baba glas ya wine, nikajua tayari uzee huo unakuja!
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

    Nafikiri hujamuelewa logic yake
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakaa siku 5 hapati choo kikubwa

    Pia kama anatumia vinywaji baridi sana aache, na mwambie asubuhi kabla hajala chochote anywe maji vuguvugu yenye tangawizi na limao au ndimu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

    Nimepatwa na kiu ghafla
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri ushauri Kuhusu RAV4 1st Gen aka Mkulima

    Kilitime manual zipo ila ni chache sana, nyingi ni kwa soko la UK na US
  6. S

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Wanashauri nzuri ni za kuanzia mwaka 2015 na kuendelea
  7. S

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Kwa muonekano ni gari nzuri, wanawake wengi wanazipenda
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 12m napata gari gani?

    Awe makini tu nyingine wamezipiga rangi ila zina matatizo kibao kwenye engine
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men stop dating liability

    Hayana aibu kabisa, nimewahi kukutana na wa aina hiyo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Tumeutumia sana huo mmea tulipokwa wadogo, nimekuwa nikiutafuta kwa muda mrefu bila mafanikio
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Threesome huwa zinatokea automatically hasa mkiwa tungi, ukizitafuta ni ngumu sana kuzipata mademu wengi wanakataa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Sio kweli mkuu, ila kuna maeneo inahitaji ukarabati kutokana na athari ya mvua za mwaka jana na juzi, kuna kipande cha kutoka Somanga mpaka Mbwemkulu, na maeneo ya Mtama na Nyangao
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Njia ya kusini, Lindi - Masasi - Tunduru iko vizuri ingawa ni ndefu kidogo kutokea Dar
Back
Top Bottom