Recent content by soebody

  1. S

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    nimeuliza tu km yuko fresh ama ameshalipuliza mkuu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine waongea kwa uchungu baada kuvunjwa vunjwa viungo vyao huko Kherson

    kabla ya hii kulikua na project ya suckhoi superjets iliishia wapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine waongea kwa uchungu baada kuvunjwa vunjwa viungo vyao huko Kherson

    vita mwezi wa saba huu bado haijulikan itaisha lini halafu utokee upande unadai kwake mambo ni fresh ukiamin utakua umependa kudananywa, kila upande unalipa ghara kubwa sana kwenye vita hii, ukraine inalipa gharama kubwa zaidi lkn kwakuwa imejumuisha na raia wengi kwe vikosi vyake hivyo wanakuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    hio si diplomasia tu mkuu, lkn pia we umeshawahi kufiwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiposhobokewa huwa anachanganyikiwa

    Kwahiyo kwa kutuma hio case moja tu ya huyo dada ndo umehitimisha kuwa mwanamke ni mtu wa hivyo?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    Anaongea yeye au ashapiga mambo yake yale
  7. S

    JamiiForums Tanzania Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Ni africa tu bado inalalamika kunyonywa/kuibiwa na mkolon wakati mataifa mengine yaliyotawaliwa km sisi yalishasahau yakajipanga yakasonga
  8. S

    JamiiForums Tanzania Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    aah wapi, historia tupu ya mtu mweusi ni shida kuipata
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mfalme Zumaridi wafika Mahakamani, leo Septemba 9, 2022

    yeah, mi siwakubali sn hawa watu but atendewe tu fair km mtu mwngine yeyote na sio zitumike sana hisia kumkomesha ili kusend message
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    ni kweli huwa hawaandiki vizuri kabisa but huwaita madikteta au wauaji, but hii ya kuwish soething even after death duh hii kali but huwez laumu sana maana wasouth wamepitia magumu mpk juzi hapa so wengi still wana memories
  11. S

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    kweli kabisa mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    kutumia standards za civilization ya leo kuhukumu killichotokea miaka 100 iliopita ni aina flani ya ujinga, ndio maana tuko busy kulalamika kuwa wakoloni walitubia walitunyonya wakati mabara mengine ambayo yalitendewa hivyohivyo walishamove on wakapiga maendeleo, kila mtu anajua wakoloni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    yeah sema sema uzuri wa kitu ni mtazamo wa mtu, pia issue ya simu au pc inategemea na matumizi ya mtu ni yapi hayo ndio sometmes yanafanya mtu aone hiki kinatsha au hakitoshi,
  14. S

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    wengi walizoea android huwa wanapata tabu kuizoea iphone hivyo huishia hapo hio ndio changamoto
  15. S

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    usichoke kujaribu, jaribu na iphone
Back
Top Bottom