Recent content by Socratesson

  1. S

    Tamko la Mbatia lisipuuzwe na Serikali hata kidogo

    Wantanzania tunakosea kabisa.Ule msafara ulikuwa halali kuzuiliwa kwenda kwenye Mazishi.Lowassa amekuwa kiongozi wa mda mrefu katika nchi hii na ameudhuria misiba isiyokuwa na idadi.HAKUWAHI KWENDA NA BODABODA 600 KAMA ILIVYO JANA.ANAZIFAHAMU FIKA KUWA SIO TARATIBU.Hata mheshimiwa JK,HAKUFANYA...
  2. S

    Nini maana ya dhana Tunataka Mabadiliko?

    Thank you so much for the brilliant explanation.We share the same intrest.BIG UP for telling the naked truth.
  3. S

    Zitto, Shika lako, ya wengine waachie wenyewe! Epuka kumtaja Lowassa kwa ubaya!

    POLITICAL PROSTITUTES COULD BE THE RIGHT WORD FOR HIM.Thank so much for the word PASCO. YOU HIT THE BULL AND ENOUGH.THANK YOU FOR TELLING HIM THE TRUTH
  4. S

    Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

    Your a very great thinker Lady! Huwa nikisoma post zako zimetulia,We the people of this forum.Need people like you.Big up a millions times
  5. S

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    Kitu kizuri nampongeza nyalandu namwona kama mtu ambaye anaweza kazi ya uchungaji kuiombea nchi amani.Ila urais HAWEZI MANA NIKAMAVILE SIJAONA SEHEMU AMEZUNGUMZIA VIPAO MBELE,UCHUMI.AMEONGEA KIJUMLAJUMLA.
  6. S

    Swali la ugomvi: Mnamtaka Lowassa tu au Lowassa na CCM yake?

    Ndugu yangu mwanakijiji,nakushauri uwe na contents zakitaifa zaidi kuliko kuwa kama mwanachama wa chama flani.Mimi binafsi sioni Tatizo kwa lowassa na chama chake.Hakuna chama ninachokiona kama kina manatatizo bali niwatu walio ndani ya vyama hivi,Nawapo tu katika kila chama.SWALA LAMSINGI...
  7. S

    CCM wanadharau sana waadhubuni October /2015

    wadau nina swali! Kwanini watu waogope sheria ya mitandao kama nia yao nikutenda mema tu? Mana kama mtu yuko safi hatakiwi kuwa na hofu mana atafuata sheria nasio tofauti.nawasilisha
  8. S

    Kwa kasi hii, Zitto Kabwe kwa sasa ni power broker katika chaguzi kuu

    You hit the Bull,you told the truth and Congratulation.The only problems is you have very few wise pepole to agree with you.Otherwise big up
  9. S

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Sitaki kumsifia Pasco,kwasababu ya interest ya chama ninachokipenda,au urafiki wangu naye"Hatujawahi kutana na wala simfahamu" Lakini pasco is intelligent parson.Nakama wengi tungekuwa kama Pasco pengine Tungeona mwelekeo wataifa hili kwa upeo mpana sana.We always take everythings for granted...
  10. S

    Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Nawapongezeni sana kwa kazi nzuri mnayofanya WAZALENDO
  11. S

    CV ya Anne Makinda na utitiri wa madaraka na Advance Diploma tutasalimika kweli???

    MLETA MADA NDIO NAONA HANA SKILLS ZAKUTOSHA,MANA KWANZA Makinda ANA ADV DIPLOMA AMBOYO NI EQUIVALENT TO DEGREE,ANA UZOEFU WAKUTOSHA.Katiba inasema uwe unafahamu k3.Kuna wabunge wengi hawana Taaluma hata sekondari mfano Lema ana form two,Sugu amefeli form4,Sendeka na Mbowe six wamefeli,Lusinde...
  12. S

    Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

    You said it very well.Big up as i have no more words.You said it brilliantly.Congratualtion
  13. S

    Benson Bana na Kitila Mkumbo wanapoamua kudhalilisha taaluma zao kosa Zitto na team zao

    Ni jambo jema kutoa maoni yako na Hongera sana.Ila kosa lako nikwamba unatumia hisia za kichama nakuwadhalilisha DR.Bana na Mkumbo."Hapa naona umepotoka" Kama wewe binafsi hupendi michango yao baki kama wewe.Kuna watu wengi tu wanawakubali Ma Dr.Hawa kwa michango yao,Heshima zao pamoja na Usomi...
  14. S

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Kweli Pengo Ni kiongozi mwenye maono ya mbali.Kwa kweli ameongea ukweli mtupu.Kwanini uwakateze watu jambo angali watu wanaweza soma nakusema ndio au hapana wao wenyewe? Je siku ikapita Maaskofu hao wataficha nyuso zao wapi? Pengo hayuko upande wowote ila maoni yake yanamwanga kuliko giza la...
Back
Top Bottom