Recent content by socket

  1. socket

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Kule VIP mambo ni Bam bam... Sehemu ya 32
  2. socket

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdau anaomba miongozo baada ya kukuta hiki kifaa kwenye mkoba wa mpenzi wake

    Chuma kinaliwa na chuma... Huyo humuwezi ni jangili No. 1
  3. socket

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Huu ushauri bado unafanya kazi au zakuambiwa changanya na zako
  4. socket

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma jitahidi ukope kwa awamu zenye muda mfupi mfupi

    Umekopa Bank na haujadhibitishwa kazini, hiyo nyumba ya mkopo wa miaka 3 itakuwa ya matope
  5. socket

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Huu ushauri, Ontario yuko wapi
  6. socket

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume unaweka profile picture ya mwanamke?

    Mwanaume kuweka picha profile ya Mwanamke hii imekaaje. Ukitongozwa utalalamika?
  7. socket

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

    Kila mtu na chake na anachokiamini kwa kuwa cha mtu akimsaidii kitu. Kama wewe unanunua hisa kila mwezi za mil 100 bado sio sababu yakumdharau bodaboda anayeweka 200,000 kwa mwezi. Haya ni majungu na umbea wenu kwa mnaohoji maisha ya wanaume wenzenu. Yeye kuweza kujitunzia na kushindwa bado...
  8. socket

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

    Basi mpe hizo mil 15 bure
  9. socket

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara mwenye Uhitaji wa Frem na Una Mtaji

    Inabd kutizama hiyo frem ya 900,000 hii bure baada ya miezi sita ni kiini macho. Hapa sema frem iko wapi na ina ukubwa gani. Biashara yakuweza kulipa kodi 900k sio mchezo
  10. socket

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

    Mahusiano na Ndoa naona kama ni ngumu sana kwa mwanaume umri chini ya miaka 30.... Weka nguvu zako kujijenga zaidi japo ni vigumu sana maana ndio mda tamaa zinakuandama na maamuzi ya kupingana nazo ni madogo. Kwakuwa unataka kuoa ngoja nikukumbushe kuwa dunia hii na asili ya uumbaji sio ya...
  11. socket

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utachagua moja, nikulipe wewe au nimlipe mfanyakazi

    Kula yake inategemea kazi hiyo... Maisha ya hivyo hayapo popote kwasababu ni ya kufikirika. Ikitokea mpenzi au mke wako akaunga hoja mwambie kuanzia leo utamlipa na vigezo na mashafti kuzingatiwa na mkataba wa ndoa ya milele uvunjwe na muanze mkataba wa mwaka 1 mbao utakuwa unarenew kila mwaka...
  12. socket

    JamiiForums Tanzania Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ipoje?

    Nimetuma mtu kijijini akafuatilie ulikuwa 70k kama wiki 3 nyuma
  13. socket

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Bussiness inabd uende nadhani kuna masharti yake
  14. socket

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Kote ni FINCA
  15. socket

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Unajisajili salary advance riba nadhani ni 2.5% kwa mwezi na inakatwa kwenye mshahara ujao
Back
Top Bottom