Mkuu naomba unitext, kale kanamba kalikokuwa kananipa kiburi nimekapoteza[emoji23]Wenyewe wanaita Mapenzi
Kapi hako my friend 😃😃Mkuu naomba unitext, kale kanamba kalikokuwa kananipa kiburi nimekapoteza[emoji23]
We diyem tuKapi hako my friend [emoji2][emoji2]
Mimi ni waambie tuu wtaachana tuu, tena kwa aibu sana.
Kwa upande wangu sitakaa nirudie kuweka picha ya mwanamke kwenye profile yangu au kumpost popote. Kufanya hivyo ni kujizibia riziki sana alafu anakuja kukuacha kijinga sana mpaka unabaki unashangaa huyu kweli kawezaje