Recent content by Social Psychologist

  1. S

    Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Naunga mkono hoja. Karibu kwenye mental health issues hutajutia.
  2. S

    Wezi wanarudishana nyuma sana

    Jamani. Hata Mimi simu ya kwanza kupokea Leo ni ya wizi wa duka la mama yangu lililoko nyumbani. Wamebeba vyote wameacha tu mizani na fridge
  3. S

    Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza

    Mi ninalo nauza Ila lipo machemba jirani na kilapula. Njia kuu ya kuingilia ni idara ya maji ni km Moja na nusu kutoka lami na maji na umeme vipo karibu. Heka zipo tano kila heka million tano. Eneo limepimwa sababu nilinunua kwa ajili ya utanuzi wa shule yangu Ila nilipohama kikazi na wazo...
  4. S

    Dark days 17/03/20

    Hii stori ni ya aina yake. Nimeirudia Mara mbili na kuelewa code zote. Kuna mengi ya kujifunza
  5. S

    Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

    Mimi ninapomkosea mtoto wangu huwa namuomba msamaha na kumpa hugs za kutosha hadi nyongeza. Likewise akinikosea huniomba msamaha na kuhakikisha nimecheka kabla hajaendelea na mishe nyingine. He is just four years and saying sorry to each other is our life style.
  6. S

    Naomba kazi ya kusimamia shamba

    Huu mchanganuo ni wa manufaa sana kama mhusika atauelewa.
Back
Top Bottom