Very deep and worthy observation....ingawa kiukweli wengi hatupendi hata kuliwaza, let alone kuli entertain kwenye hili sakata la Escrow.
Kuna mwanasheria yeyote anayeweza kutusaidia kufafanua hii concept ya SUB JUDICE pale Bunge na Mahakama zinapo clash kwenye system ya mabunge ya Jumuiya ya...
Uzoefu wa hii mifuko mingi ni kuwa mwanachama anapochukua mafao ya kujitoa, mwanachama huyuhuyu atarudi kujiunga tena ndani ya miezi 18. Kwa hiyo suala la kusema unafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili na una miaka 30 hivyo utatakiwa usubiri miaka 28 ili upate mafao yako, si sahihi kwa...
Mkuu, fuatilia majibu niliotoa kwa Ndibalema na majibu ya Rejao kwa Magu, kama una mengine tunaweza kuendelea na debate.
I know hii issue imewagusa wengi, ila ili tujenge taifa la kuheshimika ni lazima tufunge mikanda.
Mkuu wangu,
Wabunge wetu wengi ni watu wa kuonewa huruma, kwa sababu ukiachilia wachache ambao wana pensheni, wengi wao wanadhani pensheni haiwahusu kwa wao ni waheshmiwa. Mwisho miaka mitano wanavuta cheque wanapeleka kwenye elections(Kosa kubwa!!).
Wako wabunge wengi ambao ukiwaona leo hii...
Mkuu wangu labda nikurekebishe tu sehemu ndogo. Sheria za kuanzisha mifuko hii ya pensheni haikuwahi kuwa na kipengele cha mafao ya kujitoa.
Sema kwa vile asili ya mifuko mingi ya pensheni hapa Tanzania ilianzia kwenye mifuko ya akiba(provident), kwa maana inakuwekea akiba pesa zako mpaka...
Mkuu wangu nimekupa na naomba nirudie upendekeze neno ambalo unaona linakufurahisha au litamfurahisha Mheshmiwa(sababu namheshimu) ili tusitoke nje ya mada namimi nitakua tayari kurekebisha heading ya uzi huu.
Kuhusu kuwa mawazo yangu tu kuwa ndiyo sahihi, sidhani kama nia yangu ilikua hiyo...
Mkuu unachosema kina ukweli baada ya kufanya homework hapa. Ila kuna taarifa kuwa hata kwa NSSF na mifuko mingine wanayochangia asilimia 10%, kwa mabadiliko ya sheria hii, mifuko yote wataruhusiwa kuwa na flexible rates
yani either 5%/15% au 10/10%.
Kuhusu pesa kuwekezwa, lengo kuu la hii...
Mkuu usione labda namsema mh. Mnyika out of nowhere. Kusema anatafuta cheap popularity maana yangu ilibase kwanye mambo makuu matatu.
1. Muswada huu wa mabadiliko ya sheria ulipitishwa bungeni mwaka huu, mwezi wa Aprili, hardly miezi minne mpaka leo. Najiuliza kwa mbunge makini kama Mh. Mnyika...
Sijui mwenzangu unalielewaje neno KUPOTOKA!
Lakini kwa vile hapa sio mashindano ya semantics, naomba upendekeze neno ambalo litakufurahisha wewe pamoja na wengine waliolichukulia negatively hilo neno.
Nami nitarekebisha title ya uzi huu.
Mkuu haijalishi nipo wapi.
Ila ukiingia kwenye website ya PPF utaona sehemu inayosema mwanachama atachangia asilimia 5% ya mshahara na mwajiri atachangia asilimia 15% ya mshahara, ukijumlisha unapata hiyo 20% uliyoongelea. Na hata NSSF wanaweza kuchangiwa kwa uwiano huo huo kama mwajiri akiona...
Hicho unachokisema ndiyo exactly kilichonistua.
Tumezoea kuona wanasiasa wakikimbizana kusaka cheap popularity, lakini siku zote Mnyika ameonesha umakini wa hali ya juu kwa kufanya homework yake vizuri na kujiridhisha.
Lakini kwa nilichokiona leo kimeonyesha kukurupuka kwa hali ya juu...
Mh. Mnyika siku zote nimekua namuona ni mbunge makini sana na anayejishughulisha kujua mambo.
Lakini kwa hili la kutaka sheria ipitiwe upya na kurudisha mafao ya kujitoa naona amepotoka sana. Nashawishika kuamini kuwa nayeye kwenye hili ameingia kwenye mkumbo wa kusaka cheap popularity kwenye...
Heading ingekua WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI na sio wafanyakazi wote.
kwani wale waajiriwa wa serikali kuu na wale wa TAMISEMI siku zote wamekua hawana hiyo priviledge ya kujitoa kwenye mifuko yao ya PSPF na LAPF.
Hata ukifanya kazi miaka 20 lakini ukawa haujatimiza umri wa kustaafu huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.