Af hata unafkri tunamaanisha!
Ni mradi tu tuwape hekaheka basi tu nyumba ichangamke!
wanawake sisi miyeyusho sana!
Mtuzoee tu jamani, sasa sisi tukiwa wakimya kama nyie itakuwaje?
Mi kuna muda huwa tu nasikia raha kuongeaa weeee!
mtu anisikilize tu hata kama i dont make sense!
Si unisikilize...
si baba yuko nyumbani!
Needs extra care.
Kuna sijui chai ya baba, sijui baba kamwita sijui baba anasema uende mara moja, na ile tu Dume lako liko nyumbani obvious utataka kukaa pembeni.
Communicate!
Mawasiliano yakiwa mapema yenye clarity sidhani kuna mtu anataka migogoro iso na msingi ndani kwake!
So pengine hajui unapitia nn!
Au weka hata 10,00 mezani isort some stuffs za hapa na pale ajue tu ipo!
We kaa zako kimya mwambie u need some quite time
Sema kibongo bongo tunajuaga...
Then kuna mahali hamzungumzi vitu vya msingi!
Lakini kwanini mnataka kuishi na wanawake kama vile mnaishi na wanaume wenzenu majumbani kwenu?
Mwanamke kwa asili anaongea tu!
Ogopa mwanamke ambaye hazungumzi.
Au alikuwa anazungumza akagundua unampuuza akaamua kunyamaza!
Sijui lakinI!
kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.