Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,540
- 31,598
Ndio kwani yule bibi mzungu alikamatwa kwa kosa lipi?Oyaaa really!? š¤£
Ndio kwani yule bibi mzungu alikamatwa kwa kosa lipi?Oyaaa really!? š¤£
AiseeNdio kwani yule bibi mzungu alikamatwa kwa kosa lipi?
Duh kwa dume ungetumia LAUD, APPRECIATE, COMMEND, RESPECT, ESTEEM etc etc mdau..Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio lijali, i upendo tu wa kawaida ad natura one.
Kwa wadada wao hawafichi mana katika jamii hiwezi kuleta picha yoyote tofauti.
Mi niiwahi kumkubali public figure fulaini, vile tu anavyoongea basi, ila kadri nilivyokua nikimsikiliza aadae nikawa naona kawaida tu. waongo watabisha.
We nae hem Qaazwa ni Peace.Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio lijali, i upendo tu wa kawaida ad natura one.
Kwa wadada wao hawafichi mana katika jamii hiwezi kuleta picha yoyote tofauti.
Mi niiwahi kumkubali public figure fulaini, vile tu anavyoongea basi, ila kadri nilivyokua nikimsikiliza aadae nikawa naona kawaida tu. waongo watabisha.
Hii haina comeback.. hawezi rudiONe man down, I repeat a man down over