Recent content by Snitchertz

  1. S

    Serikali yatoa siku 14 kwa wageni walioajiriwa nchini bila kuwa na vibali halali

    Waje airport,watashangaaaa...terminal one hadi taaabuuu
  2. S

    Biashara ya ndege inalipa?

    Mpya ni 3.5mil US
  3. S

    Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Siku ambayo Majeshi na police wanapoanza kuua raia wake.
  4. S

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Hizi habari ziko confirmed.moja ya ccm chopper imeanguka na kuungua moto majira ya saa moja usiku huko Selous.Waliofika hawajaona mtu wa kumwokoa,ilikuwa tayari usiku.Kuhusu nani na nani alikuwemo tusubiri asubuhi.Ila inasemekana ni Helicopter iliokodiwa na Deo kutoka Kenya.Ccm wana chopper kama...
  5. S

    Kwa hali hii ndoa na mwanamke huyu itakuwepo kweli?

    Kaa nae chini,kila mtu asimulie mwenzie past life yake bila kuficha kitu.Muulize maswali yako yote na uondoe dukuduku lako.Kama atakuwa muwazi nashauri endelea nae na mipango yako.Ila kama bado anapiga kona kona...tafakari chukua hatua...Maana watu wote wanao oa hamna bikra watu wamepita mikato...
  6. S

    Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Ukawa wakichukua nchi na waende kuwa wahudumu wa state house....maaaninaa
  7. S

    Mafuta ya Petroli yameshuka kuliko maelezo

    Ebu mtu atudodosie kenya yamefika sh ngapi kwa lita.Maana wenzetu wapo very aggressive sio kama sisi MALOFA.
  8. S

    Mafuta ya Petroli yameshuka kuliko maelezo

    Ewura hapo macho yana gundi, yakipanda ni fastaaa kabla hata mtangazaji hajamaliza kutangaza... Wanajamvi tuanze kupiga kelele.
  9. S

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hayo magorofa hata bakheresa anaweza kujenga akiamua.serikali lazima ishughulikie projects za miaka 50 au 100.projects za vinyumba serikali haiwezi kupongezwa.Jengeni reli first grade nchi nzima projects kama hizo.Maji salama nchi nzima....Dar tu imeshindikana kwa miaka 50 sasa.
  10. S

    NEC yawatoa hofu wananchi, yaonya vyama vya siasa

    Mambo wana Jamvi Eti nielewesheni,baada ya kupiga kura kwenye vituo vyetu,majibu yatabandikwa/kutangazwa isipokuwa matokeo ya uraisi.Kama ndo hivyo ni kwa nini?Na hairuhusiwi mtu kujumlisha kura za uraisi. Maana najua ukienda baa na kupiga masanga baa medi either akuibie horizontal ama...
  11. S

    Msichana wa Arusha

    Nipeni gps coordinates...
  12. S

    Msichana wa Arusha

    Nipo nipo hapa A town natafuta company ya ku chill out kama upo upo free, checkout on me.
  13. S

    Kwa waishio na VVU tu, Karibuni kupeana experience na life styles

    Karibuni Wana Jamvi waliopata ajali hii.Siku izi VVU ni kama magonjwa mengine ambayo yanaitaji kuwa kwenye dawa through out your life.Kwangu binafsi magonjwa ambayo nayaogopa yanatisha kuliko ni Cancer na Kisukari.ingawa ukiwa na VVU usipokuwa makini basi kisukari na hata cancer unaweza...
  14. S

    HIV rapid test

    So HIV hawasababishi AIDS....they are two different things....
Back
Top Bottom