Habari zenu wakuu,hivi kiujumla duniani katika utajiri,michezo,umaarufu,elimu,teknolojia ni wapi wanaongoza? Mfano kwa uchumi kuna Elon Musk,Jeff Bezos, Bill gates etc,kitechnology ni nchi za kikristu mfn USA, German, UK,etc,kimichezo Wingereza, Brazil, USA etc,pia wanasayansi wakubwa ni kina...