Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana.
Bei Tsh, 2,400,000
Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja
Ufanisi ni 95% tegemea na ubora wa mayai yako
Nishati inayotumia ni umeme wa Tanesco
Sababu ya kuuza: Niko nazo mbili na kwa uwezo wangu wa kuzalisha na kutafuta...