Vifaa vya kilimo na usindikaji wa vyakula (Maziwa) toka Uholanzi/Holland

snail

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
462
142
Kampuni ya Ante BV. ya Uholanzi inajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa mashine na Mitambo ya kilimo na usindikaji wa Maziwa na vyakula vinginevyo. Mashine hizi ni mipya kwa oda maalum toka kwa mteja na pia zipo zilizotumika kutoka nchi za Holland, German, Denmark, Uberigiji nk.
Kwa mahitaji ya Mashine unaweza toa oda moja kwa moja au kuulizia stock ya Mashine na mitambo iliyopo sokoni kwa sasa kupitia barua pepe: ante@antebv.nl tovuti www.antebv.nl au kwa mwakilishi wa Tanzania semkiwa@gmail.com na simu namba 0786283599.

Pakua file zilizoambatishwa upate kuona baadhi ya Vifaa, Mashine na mitambo iliyopo kwa sasa.
 
Attachments

  • Agricultural machinery(3).pdf
    2 MB · Views: 215
  • Stock list Ante B.V Machines.pdf
    2.9 MB · Views: 256
  • Stock list Ante B.V Machines 123.pdf
    2.9 MB · Views: 254
Kampuni ya Ante BV. ya Uholanzi inajishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa mashine na Mitambo ya kilimo na usindikaji wa Maziwa na vyakula vinginevyo. Mashine hizi ni mipya kwa oda maalum toka kwa mteja na pia zipo zilizotumika kutoka nchi za Holland, German, Denmark, Uberigiji nk.
Kwa mahitaji ya Mashine unaweza toa oda moja kwa moja au kuulizia stock ya Mashine na mitambo iliyopo sokoni kwa sasa kupitia barua pepe: ante@antebv.nl tovuti www.antebv.nl au kwa mwakilishi wa Tanzania semkiwa@gmail.com na simu namba 0786283599.

Pakua file zilizoambatishwa upate kuona baadhi ya Vifaa, Mashine na mitambo iliyopo kwa sasa.
Bei ya mashine ya mtindi
 
Wengi wapo kisiasa nakulilia tz ya viwanda

Ha ha, viwanda vinajengewa kwenye vinywa na key board za pc, smartphones na tablets!

lakini kiukweli inabidi tufunguke hatakama hatuwezi kununua vipya venye standards za ulaya basi vilivyotumika hatutashindwa. ni vizuri kuliko vipya vya kule maeneo yetu tunakopenda kukimbilia kutokana na bei chee.
 
Bei ya mashine ya mtindi

karibu kama uko sereous tuzungumze maana bidhaa unayouliza haitengenezwi kwa mashine moja pekee! ni mnyororo wa vifaa kadhaa ndio hutengeneza setup ya kuzalisha mtindi. Kama utakuwa serous, tuma email ukitaja capacity unayohitaji, kiasi cha maziwa unachokusanya nk.
karibu mawasiliano yako hapo juu, ukitumia emaill ya kampuni moja kwa moja tumia lugha za kingereza, kijerumani, au kidachi.
 
Asante nimeziona hiyo yoghurt machine na yoghurt packing - sealing machine zinachukua kiasi gani cha pesa.
 
capacity ni muhimu kusema mkuu, ila cups filling and sealing machine 150 ml - 250 ml and 500 ml with 2000 cups per hour FOB price 22,000 EUR, batch pasteurizer 500Liters/hour FOB price 7,000 EUR used but complete overhauled continuous line pasteurizer with 1000 liter per hour on stock FOB price 28,000 EUR.

Ni vizuri ukasema umefikia wapi? unaanza au tayari kuna vifaa unavyo? unataka kusindika maziwa kiasi gani? nk nk...
 
Mashine za Yoghurt mzee, huwa nazalisha maziwa lita mia 2 kila siku. Production line inajumuisha mashine ngapi, nipe bei ya kila mashine kwa uwezo wa kuprocess lita elfu moja kwa siku. Asante
 
Hapo utaweza kupata setup yote kwa 26,000 EUR hapo bila mashine ya kupack hizo yoghurt, Kwa kima cha chini kabisa mashine ya kupack yoghurt kwenye cups kama sa Tanga fresh au asas ni 18,000EUR ikiwa na uwezo wa 1800-2000 cups/hour
 
kama uko sereous tuma email mkuu itakusaidia kupata kumbukumbu ili siku yoyote uweze kurejea mawasiliano haya.
 
capacity ni muhimu kusema mkuu, ila cups filling and sealing machine 150 ml - 250 ml and 500 ml with 2000 cups per hour FOB price 22,000 EUR, batch pasteurizer 500Liters/hour FOB price 7,000 EUR used but complete overhauled continuous line pasteurizer with 1000 liter per hour on stock FOB price 28,000 EUR.

Ni vizuri ukasema umefikia wapi? unaanza au tayari kuna vifaa unavyo? unataka kusindika maziwa kiasi gani? nk nk...
Ndo naanza nilikuwa naulizia bei ya hizo ili nijue ndo nijipange
 
Hapo utaweza kupata setup yote kwa 26,000 EUR hapo bila mashine ya kupack hizo yoghurt, Kwa kima cha chini kabisa mashine ya kupack yoghurt kwenye cups kama sa Tanga fresh au asas ni 18,000EUR ikiwa na uwezo wa 1800-2000 cups/hour
kati ya hizo machine hakuna iliyondogo zaidi kama ipo inapeleka shingapi kwa setup yote.
 
Uzii huu ni mzuri sana lakini biashara inahitaji mipango dhabiti na umakini wa hali ya juu hasa unapotaka kuingia kwenye soko ambalo tayari kuna walio jikita muda mrefu na wana mitaji mikubwa !!
 
Back
Top Bottom