Haki ya mtu haidhurumiwi hata siku moja,itacheleweshwa tu kama ilivyokuwa kwa Maalim Seif na sasa muda umefika wa kupata haki hiyo.Waroho wa madaraka ni wale wanaong'ang'ania kuendelea kukaa madarakani kwa njia yoyote ile hata kama upeo wa kutawala umefika mwisho.Freedom is coming soon!
Ndo maana tunasisitiza elimu maana watu mlio wengi mmesoma lakini hamjakombolewa.Kwani wanaoingia mwaka wa pili na kuendelea waanze kujiandikisha upya kwa vile elimu bure itaanza na wanafunzi wa mwaka wa kwanza? Ukiwa kwenye mfumo wa kulipa ada huwezi kusitishiwa muda wowote?
Nyumba yenyewe ya kupanga eneo utalitoa wapi? Hatoki mtu, tunafuata sheria ya Uchagui ukipiga kura unaruhusiwa kukaa mita 100.NEC haohao walisema matokeo yatabandikwa baada ya kura kuhesabiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni mwa wapiga kura nani atayaona ikiwa watu wataamuliwa kurudi nyumbani...
Kama hujui kiingereza nyamaza usichangie chochote.English structure yenyewe shida,badala ya "inadepend on the context" unaandika "inadepend with the context".Kama unakosoa basi jihakiki.
Tukisema CCM mnaendekeza ukabila, udini na ukanda mtakataa, wakati uthibitisho tunao hapa? Yawezekana ikawa si CCM moja kwa moja lakini baadhi ya watu wenye ushabiki na CCM kama huyu na ku post mada zinazo onyesha ni kampeni zinazoashiria ukabila, udini na ukanda wanaweza kuiharibia CCM uchaguzi...
Mwombe SHETANI awasaidie apite kwenye urais,lakini katika nchi hii wanaomtegemea MUNGU ni mafuriko kwa hiyo SHETANI atashindwa tu kwa jina la YESU na ALLAH.LOWASSA ni chaguo la MUNGU.
Lengo ni waizirael kufika kanaani na wala si kurudi misri.Haturudi misri kamwe maana tumeamua.Kwa akili yako unadhani mwandishi kakosea,tangu lini mwenye dhambi ukaelewa maandiko ya kiroho?
Mweshimiwa huyo ni mpuuzi tu mmoja kaamua kumchafua Lowassa na watu wa Tanga wapenda mabadiliko, amewafanya watu wa Tanga ni maskini wa fikra kama yeye anayetumiwa kama mpira wa kiume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.