Wanawake Geita watoa machozi kwa Mama Samia

Wanawake Geita watoa machozi kwa Mama Samia

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Maelfu ya wananchi wakiwemo wanawake wamejikuta wakitoa machozi wakati wa mapokezi ya Mama Samia.Hata hivo Mama Samia amewaahidi kuwa serikali yake itaweka mkazo katika kuboresha huduma za Maji na Afya mkoani Geita ili kupunguza adha za wanawake.



Maelfu ya wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Geita mjini mkoani Geita leo
 
Waache wamalizie kutumia pesa waizotuibia kisha Oct 25 tunawatia moto.maaaeeee
 
Wakati anachakachua maoni ya wananchi kwenye rasimu ya katiba mpya mlikenua meno kulalamika, hivi sasa mmesahau.
Elimu ni kitu muhimu sana.
 
Samia na CCM ndio waliowaliza wananchi na maovu yao, bila aibu wanakwenda kuwaomba kura ili waendelee kuwaliza.
 
huyu mama anapiga kazi sana,kwakweli tumebarikiwa kuwa na makamu wa rais mwenye hekima kama huyu mama....
 
Usanii mtupu labda walikuwa wamepewa hela wakalie kwenye mkutano! Unaenda kumlilia fisi akupe nyama wakati akiwa na njaa? Anachokifanya ni kukudanganya tu ili uingie kwenye anga zake akufaidi kama kitoweo!
 
Wewe umeamua hivyo na kila mtu ki vyake. Ondoa wamesha... kwa kuwa wewe si msemaji wetu
 
Back
Top Bottom