CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

Mimi napita tu lakini ni hatari kama mavi na matapishi yako unaweza kuyarudia kuyala kama akili yako iko sawa. Haiwezekani tunaendelea kushangaa na chama tulichokuwa tunakiamini na leo hii kimekuwa hivyo kwa sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.
 
Uwiiiiiiii eti Chadema-Tanga,Tanga ipi hii hii ninayoijua mimi ambayo watu wanashinda kwenye mikeka masaa24 na wamekunywa maji ya bendera ya kijani????
 
Watu wa tanga kwendeni asiyejua nyinyi wanafiki ni nani mkowa umetelekezwa lakini kwa fitna zenu hakuna hata jimbo moja la upinzani nyinyi chezeni baikoko achaneni na siasa na ndo mana hata ktibu mkuu ccm bwana kinana alisema watu wa tanga hawana tabu waoo wataka taarabu tu na kweli siku ya pili mkaletewa mzee yusuf
 
Viva Tanga!!!!!!Mmeonyesha mfano ,wanaobisha wamenunuliwa ndo maana walipiga kura za kunyosha mkono halafu wakazuia kuchukua form ya kugombea uraisi,ndo Democrasia hiyo hahahaaaaaa kikikikikiiiiiiii aaaaaaa
 
Kwenye msafara wa mamba Kenge hawakosekani. Wajitoe na wajiunge CCM kama hawakubaliani na Lowasa
 
kama ulivyopokea ile ya zito na ya slaa kuleni mkivimbiwa tafuteni magadi
adui wetu Ni ccm na siyo mtu mtabwabwaja Sana tanga wala hamtupi shida lowasa is a president ����������������

Mweshimiwa huyo ni mpuuzi tu mmoja kaamua kumchafua Lowassa na watu wa Tanga wapenda mabadiliko, amewafanya watu wa Tanga ni maskini wa fikra kama yeye anayetumiwa kama mpira wa kiume.
 
Kweli Tanga wanaakili maana wanaona mbali. CHADEMA Tanga endeleeni kumcha MUNGU kaeni mbali na mafisadi yasiyoshafishika.
 
Wala haishangazi sana,watu wa tanga mbali na viwanda vingi kufa na bandari kusimama mmeendelea kuwa watiifu kwa ccm ndo maana serikali haiwazii kufufua hivyo viwanda make wanajua kura watapata tu,poleni

Waswahili mpaka basi.
 
Lowasa ni ccm na huwezi kumtofautisha na CCM kamwe hata Juzi aliacha shughuli zote za chama kwenda kumzika mwanaccm mwenzake. Kura yangu udiwani, Ubunge CDM Uraisi sijamuona wa kumpa mpaka sasa Wa UKAWA na CCM wote mafisadi
 
Nyie watu wa tanga tunawfahamu tz nzima mmshikwa na mkashikika na ma ccm hivyo bc utawapata vipele wenzio tu, hamna faida ndani ya ninyi ndani ya ukawa, Ukawa inamaeneo yke sio tanga ww.
 
Nyie watu wa tanga tunawfahamu tz nzima mmshikwa na mkashikika na ma ccm hivyo bc utawapata vipele wenzio tu, hamna faida ndani ya ninyi ndani ya ukawa, Ukawa inamaeneo yke sio tanga ww.
Wewe unatutukana sisi watu wa tanga Kisa hatuipendi ukawa!!? Majibu ya matusi yenu kwa wana Tanga mtayapata October.
 
Mimi ni miongoni mwa tulioamua kunyamaza kama Dr. Slaa ingawa tunapuuzwa na kutukanwa kana kwamba hatuna maana. Lakini CDM ya kibabe itaivunja UKAWA na huyo fisadi walieungana nae hawatafika popote. Nasubiri anguko la UKAWA ili wana mabadiliko wa kweli tufikie kile ambacho wa-TZ wanakihitaji. Mabadiliko hayawezi kuja kwa shekeli na hadaa za fisadi. Hana utashi wala uwezo wa kuongoza nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom