Recent content by smuyenjwa

  1. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaposema Pinda ni mfano wa kuigwa kwa kukaa kimya inamaanisha hataki kukosolewa, asiambiwe ukweli?

    Umeandika pumba .Jipambanue wewe kwanza kwa andiko lako hili ambalo naamini hata mtoto Wa darasa la kwanza hawezi toa comment yenye poor logic kama yako.
  2. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz na Nandy, waambieni wanaowatumia kamwe dunia haitarudi nyuma!

    Huna lolote umeanza vizuri kwa kutoa wosia mzuri kumbe kuna watu umewatarget kuwatolea nyongo. Wapigie cm unatujazia server upupu
  3. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya tangazo la wenye vyeti fake kurudishwa kazini call na massege zake azikauki kwenye simu yangu.

    Acha upotoshaji wewe nahisi unatumia akili za kuazima. Waliorudishwa kazini ni wale waliokuwa wafanyakazi wenye vyeti halali vya darasa LA saba . Siyo fake
  4. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Mabilioni anayotoa Rais Magufuli ni pesa zake binafsi?

    Wacha achote na azigawe hakuna namna kama vikao vya bajeti huwa mnasusa mnatoka nje yeye afanyeje??
  5. smuyenjwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania When Kenya sees Tanzania as their measurement

    Ngoja tuzuie nafaka zetu mnunue zilizosindikwa ndo utajua tuna viwanda . Bei ikipanda ya unga utafunga domo lako huko Kenya na utakula mlo mmoja nguvu za kuongea zitaisha nyoko wewe
  6. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Picha: Diwani wa Tarime aliyehamia CCM apelekwa Afrika Kusini chini ya ulinzi wa Green Guard kwa mapumziko

    Acha mapovu mkuu Sema umeumia tu Nairobi ninayoifahamu INA fly over ngapi unazosema kila mahari ????? Point za mawazo yako ni sawa ila weka mifano yenye uhalisia kama hapo juu.
  7. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Magufuli azindua nyumba za Polisi, atanganza ajira 1,500 za Polisi, Polisi marufuku kufyeka bangi..

    Asante kwa pumba zako ulizoandika endelea kutambua
  8. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Zindua zindua ya Rais Magufuli; hivi hanaga kazi zingine za kufanya?

    **** wewe we nani unampangia Rais majukumu ya kufanya ?? Hata wewe haunaga kazi zingine za kufanya kila siku ni kupost ualo humu ???
  9. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Huna lolote unatujazia server tu.Uchumi wenyewe hujasomea unawashwa nyege za uvyama tu
  10. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Mkuu kwenye issue za imani huwa sipendi debate otherwise shika kile unachokiamini
  11. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Hahah hahah hadi nimeamka usingizini kwa kauli hiyo !! OK kila mmoja na imani yake
  12. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mmeona? Sasa mlilieni Mungu kitaeleweka tu.

    Maombi ya mlevi hayo
  13. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Wakili mzuri ni Yesu tu hawa wengine ni chuma ulete
  14. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Alipouawa na polisi Daud Mwangosi, Mbona viongozi wa CHADEMA hawakukamatwa wala kushtakiwa..

    Dah jamaa povu linatoka haswa, so kwa vile Kipindi kile Dr slaa hakukamatwa na mbowe nae akaona afanye hivyohivyo hatakamatwa??? State commander wakati huo alikuwa kikwete na sasa hivi state commander ni John!! Vitu viwili tofauti. Akili ya kukariri kwamba Fulani ameiba hakukamatwa na Mimi niibe...
  15. smuyenjwa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, awasikiliza Maaskofu, au awapuuze na kusimama na Mungu wake?

    Dunian hapa kuna viongozi Wa dini au waumini wanaoabudu miungu na syo Mungu Wa kweli huku dhamira na nafsi zao zikiamini kuwa zinaabudu Mungu Wa kweli. Ukisoma maandiko matakatifu utawaona aina hizi za watu."watakuja wengi kwa jina langu wakiwa na mifano ya utaua kumbe ni mbwa Wa mwitu...
Back
Top Bottom